Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,841
- 25,359
- Thread starter
- #161
Simtaki
Simtaki
Mambo ni mob huko PM ee🤣Tunawasiliana naye sana kiasi kwamba tumeshabanjuana mno kwa njia ya mawasiliano ya mazungimzo ya simu na sms, imebaki kukutana tu tumalizie live live. Anajijua akisoma tu hapa.
********missing you so much
Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo sharti kama sio dini sijui. Kwa kuangalia tu profile photo.Umewahi mpenda mtu humu Jamii Forums ukaona huyu kakupenda kweli na ukampenda kweli halafu mlipoachana ikakuuma roho? Mimi ndiyo.
Niliwahi kumpenda mwanaume humu na hakuniacha, ila nilishindwa masharti, ila waleo namkumbuka sana. Ila yeye ndiyo basi tena, hajali tena, kipindi cha 2019 nilipofungua Unique Flower.
Je, wewe iliwahi kukutokea hali hii?
Dj waleteeeeeeeeeeeeeeeee 💃!!Tunawasiliana naye sana kiasi kwamba tumeshabanjuana mno kwa njia ya mawasiliano ya mazungimzo ya simu na sms, imebaki kukutana tu tumalizie live live. Anajijua akisoma tu hapa.
********missing you so much
Sent using Jamii Forums mobile app
Mm nikopoa kabisa vipi wew
😁😁😁😁😁🤣🤣🤣 Watu na watu wenyuuuuuuuu 👌👌👌💃 Aririririririiiiiiiiiii!!!👏👏👏Nimecheka kwa sauti 🤣🤣🤣
Mambo ni [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91] tena yupo hapo ulipo (Arusha)Mambo ni mob huko PM ee[emoji1787]
Simtaki
Yeye tuBasi chagua unayemtaka...
Hapana sio dini alikuwa dini yanguHilo sharti kama sio dini sijui. Kwa kuangalia tu profile photo.
Tatizo siku hizi hupendi kufunguka mkuu!Nafuatilia kwa makiniii😁😁😂😂😂🤣🤣!
Helloowww wana selfika ✋😁
[emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732]Tumepaniana tukikutana kila mmoja nahisi atatamani ammeze mwenzie [emoji1751][emoji1751]Dj waleteeeeeeeeeeeeeeeee [emoji126]!!
Kila la kheriiiiii mkuuu!!
Naam!Tunawasiliana naye sana kiasi kwamba tumeshabanjuana mno kwa njia ya mawasiliano ya mazungumzo ya simu na sms, imebaki kukutana tu tumalizie live live. Anajijua akisoma tu hapa.
********missing you so much
Sent using Jamii Forums mobile app
Niko poa sana nakuskilizia uelezee hisia zako kwa umtamaniye jf[emoji38]Mm nikopoa kabisa vipi wew
Sikuhizi Sina mtuuuuuu humuuu Sipendi wala sijawahi pendaaaa mtu humu tenaa mieeee!! 🙇🙇🙇🙇!!Tatizo siku hizi hupendi kufunguka mkuu!
MmmmmmmmhNilimpendaga kijana anashindaga kuleee JF garage [emoji23][emoji23][emoji23]
Weeuhh alikuwa akinilike nasikia raha… alinikwoti nazimiaa sekunde 3.
Way back.. sahii feeelings zilikwenda na maji ya mvua ya msimu uliopita.
Ila kijana hajui
Unatuvuta kamba mchana kweupeeeSikuhizi Sina mtuuuuuu humuuu Sipendi wala sijawahi pendaaaa mtu humu mieeee!! [emoji144][emoji144][emoji144][emoji144]!!