Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 42,569
- 94,847
Kha! Wapo wengi...nitaje wangapi?
Kha! Wapo wengi...nitaje wangapi?
Mmoja unayemtamani sana ingewezekana hata saa hii ungempa Chiu akushughulikie vilivyoKha! Wapo wengi...nitaje wangapi?

Ha ha haaaNakumbuka mwaka 2016 kuna mdau mmoja wa JF nilikuwa napenda sana uchangiaji wake kiasi cha kumfuata privately. Tukawa tunachat dhamira ikiwa ni kuja kutongozana hii yote kwa taswira tu niliomjengea kichwani mwangu kama pisikali fulani maana hatukuwa tumeshea picha. Ila kwa story zake alikuwa ni corporate lady umri wa makamo. Na michango yake yote ilikuwa anatoa kama binti.
Siku moja kulikuwa na tafrija Bank ya Diamond Trust wateja walialikwa tawi la Masaki. Kuna msela tulikuwa sehemu moja tunapiga stori kama wawakilishi wa kampuni zetu za ajira. Ikiwa tunachezea simu zetu huku tukiongea ghafla akanionyesha article JF huku akisema subiri a log in ili acomment. Si ndio kuona yule demu wangu wa inbox ndio msela kupitia log in details maana hakuficha.
Sikusema chochote ila baada ya hapo nilimblock kabisa. ID yake nikiangalia sasa hivi ilikuwa active mara ya mwisho 2018.
Nimetaja jina la eneo tulikokutana ili mwamba kama yupo humu kwa ID nyingine ajue kuwa nilimshtukia kuwa ni dume na hata mpaka leo sijui alikuwa na nia gani. Maana wasifu wake wa kazi aliotumia nikiwa na chat nae unashabihiana na ule wa uhalisia katika udume wake na hili nilijua tulipokuwa tunapiga story bank.
Toka siku hiyo nachukulia ma member wote humu kuwa ni madume kama mimi tu.
Napata kigugumizi 😅😅Mmoja unayemtamani sana ingewezekana hata saa hii ungempa Chiu akushughulikie vilivyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Tutajie na weweMmoja unayemtamani sana ingewezekana hata saa hii ungempa Chiu akushughulikie vilivyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mie nimeshamuelezea kwenye comment huko juu na ameshajijuaTutajie na wewe

Ha haaa sitaki. Wewe hujamtaja mimi naanzaje?
Nionyeshe hiyo comment nikamsome
Mie nimemuelezea huko juu kwenye comment, yupo Arusha Ngulelo jina lake linaanza na herufi V...........na ameshajijuaHa haaa sitaki. Wewe hujamtaja mimi naanzaje?

Mwanzoni mwanzoni huko juu utaiona comment yanguNionyeshe hiyo comment nikamsome
🤣🤣🤣🤣 haya bwana basi ameshajijua nadhani. Mimi nikumuelezea bila kumtag hatajuaMie nimemuelezea huko juu kwenye comment, yupo Arusha Ngulelo jina lake linaanza na herufi V...........na ameshajijua
Basi muelezee japo kwa ufupi akiona comment yako atajua ni yeye
Sent using Jamii Forums mobile app
Basi mtaghaya bwana basi ameshajijua nadhani. Mimi nikumuelezea bila kumtag hatajua

MwafilombeHa ha ha,mi mnyakyusa bana,tunapenda hela balaa
Jina lake mwishon lina herufi S
Asaalaaaaleeeeeeeee....watu na bahati zao woooouuuuuh!Jina lake mwishon lina herufi S
Nakumbuka mwaka 2016 kuna mdau mmoja wa JF nilikuwa napenda sana uchangiaji wake kiasi cha kumfuata privately. Tukawa tunachat dhamira ikiwa ni kuja kutongozana hii yote kwa taswira tu niliomjengea kichwani mwangu kama pisikali fulani maana hatukuwa tumeshea picha. Ila kwa story zake alikuwa ni corporate lady umri wa makamo. Na michango yake yote ilikuwa anatoa kama binti.
Siku moja kulikuwa na tafrija Bank ya Diamond Trust wateja walialikwa tawi la Masaki. Kuna msela tulikuwa sehemu moja tunapiga stori kama wawakilishi wa kampuni zetu za ajira. Ikiwa tunachezea simu zetu huku tukiongea ghafla akanionyesha article JF huku akisema subiri a log in ili acomment. Si ndio kuona yule demu wangu wa inbox ndio msela kupitia log in details maana hakuficha.
Sikusema chochote ila baada ya hapo nilimblock kabisa. ID yake nikiangalia sasa hivi ilikuwa active mara ya mwisho 2018.
Nimetaja jina la eneo tulikokutana ili mwamba kama yupo humu kwa ID nyingine ajue kuwa nilimshtukia kuwa ni dume na hata mpaka leo sijui alikuwa na nia gani. Maana wasifu wake wa kazi aliotumia nikiwa na chat nae unashabihiana na ule wa uhalisia katika udume wake na hili nilijua tulipokuwa tunapiga story bank.
Toka siku hiyo nachukulia ma member wote humu kuwa ni madume kama mimi tu.
Huyu nilimpenda zaman nilivyoona mambo hayaelewek nikapita kushoto. Niko ulimwengu mwingne kabisa kwa sasa.