Je, hili limewahi kukutokea?

Je, hili limewahi kukutokea?

Hivi mtu unaanzaje kujenga hisia za mapenzi kwa mtu ambaye humjui hata chembe? Hii Mimi huwa hainingii akilini
 
Sijui ni mtaje, au basi kwa sababu kipenzi cha wengi!!! Atanichanganya!!
 
Back
Top Bottom