Weeeeeeeehhh 💃💃💃💃💃!! Dj ongeza sauti pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!!Narudia tena, ukiona watu wanapendana humu we jua tu hawa hawajakutana bado! Siku wakikutana tu kila kitu kinaishia hapo hapo na kila mmoja anashika 50 zake 😀
Nani huyo jamani kakuuzi TenaKwa mwanamke kuzungumzia Ma-Ex wake huwa kunaumiza wanaume wengi (wanaomtaka, walijaribu hata wanaotegemea kujaribisha bahati yao), ndo maana nikampa warning aishie hapo asije akaumiza hapa JF wanaume karibia wote isipokuwa mizee
Hakuna mwanaume huwa anaimajini mwanamke anayempata alishawahi kumwagiwa sh.ahawa tangu azaliwe, hata awe changudoa. Inaimagine kuwa ni MUPYA tuWanaume mna heka heka sana 😂😂
Mizee 🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌
Wewe tuUliwahi mpenda mtyuuuuuu humuu????
Aririririririiiiiiiiii 🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃!Ndiwooooooooo😛😛
Haikuhusu nawewe mxiuuUnampenda mtu kwa nyuzi zake, comments, haya majina ya uongo, avatar yake au kipi hasa kijafanya umepnde mtu wa jf ambae hata jina si lake!??
DemiNani huyo jamani kakuuzi Tena
Akili zakoo sasa !!Hakuna mwanaume huwa anaimajini mwanamke anayempata alishawahi kumwagiwa sh.ahawa tangu azaliwe, hata awe changudoa. Inaimagine kuwa ni MUPYA tu
Acha tu mkuu.. Unakuta mtu kaweka ki avatar kama cha Antonia hapo.. Siku ukikutana nae sasa we una picha hiyo ya avatar kichwani.. weeeee...!! Mbona utakimbia mwenyewe 😆😆😆😆Unampenda mtu kwa nyuzi zake, comments, haya majina ya uongo, avatar yake au kipi hasa kijafanya umepnde mtu wa jf ambae hata jina si lake!??
Unazijua wewe na To yeyeAkili zakoo sasa !!
Weee ni mwehuu!!!Wewe tu
Tema tumpige saivi demi tokeza kama unataka amani
Ukidhani mtu ni mzima akielewana na mwehu, jua wote akili zipo upandeWeee ni mwehuu!!!
😂😂🤣🤣🤣🤣😂😂😂😁😁😁😁😁😁! Dj Waletreeeeeeee 💃💃💃Acha tu mkuu.. Unakuta mtu kaweka ki avatar kama cha Antonia hapo.. Siku ukikutana nae sasa we una picha hiyo ya avatar kichwani.. weeeee...!! Mbona utakimbia mwenyewe 😆😆😆😆
Anakuogopa kwa vile ushaliwa na MchungajiTema tumpige saivi demi tokeza kama unataka amani
Mimi humu sijawahi via chupi Kwa watoto wasamia mchungaji yupi??Anakuogopa kwa vile ushaliwa na Mchungaji
Unatetewa unaharibuAnakuogopa kwa vile ushaliwa na Mchungaji