Je, asili ya majini ni ipi?

Je, asili ya majini ni ipi?

Kwenye bible hamna msitari unaotaja jini?
Soma biblia jini ndio pepo .soma Luka 10:17-20
Mapepo wanamtii kristo na wateule tangu walipochaguliwa na kutumwa wale wanafunzi sabiini
Luka 10:17-20
" Ndipo watu sabiini waliporudi kwa FURAHA,wakisema,BWANA HATA PEPO WANATUTII KWA JINA LAKO".
 
Swali: "Biblia inasemaje kuhusu mizuka /kutembelea mara kwa mara?"
Jibu: Je, kuna kitu kama mizuka? Jibu la swali hili linategemea nini hasa kinamaanishwa na neno "mizuka." Kama neno ili linamaanisha "viumbe vya mapepo,"basi jibu linahitimu kuwa "ndiyo."ikiwa neno ili linamaanisha "mapepo za watu waliokufa," jibu ni "hapana." Biblia inaweka wazi kwamba kuna viumbe vya mapepo kwa wingi,ambazo ni nzuri na mbaya. Lakini Biblia inpinga wazo kwamba mapepo ya wafu yaweza kubaki duniani na "kuwatembelea walio hai mara kwa mara".
Waebrania 9:27 inakiri, “Na kama vile watu wanavyowekewa kufa mara moja, na baada ya kufa hukumu." Hilo ndilo hufanyikia royo ya mtu- baada ya kifo-hukumu. Matokeo ya hukumu hii ni mbinguni kwa muumini (2 Wakorintho 5: 6-8; Wafilipi 1:23) na jehanamu kwa kafiri (Mathayo 25:46; Luka 16: 22-24). Hakuna atakaye kaa kati kati. Hakuna uwezekano wa kubaki duniani kama pepo kama vile "mzuka." Kama kuna vitu kama vile mizuka, kwa mujibu wa Biblia , basi haiwezi kabisa kuwa pepo zilizotolewa kwa miili ya wafu.
Biblia inafunza wazi wazi sana kwamba kuna kweli mapepo halisi ambao yanaweza kujiunganisha na kuonekana katika ulimwengu wetu halisi. Biblia inatambua mapepo haya kama malaika na mashetani. Malaika ni mapepo halisi walio waaminifu katika kumtumikia Mungu. Malaika ni wenye haki, wema, na takatifu. Mashetani ni malaika waliotenda dhambi, malaika walioasi dhidi ya Mungu. Majini ni mapepo mbaya,danganyifu, na haribifu. Kulingana na 2 Wakorintho 11: 14-15,majini hujifanya s kama "malaika wa nuru" na kama “watumwa wa haki.”Kuonekana kama "mzuka" na kuiga mfu bila shaka inaonekana kuwa na nguvu na uwezo ambao majini humiliki.
Mfano wa karibu wa Biblia wa "kusumbuliwa na mapepo mara kwa mara" unapatikana katika Marko 5: 1-20. Jeshi la mapepo lilimshika mtu na kumtumika kwa kutembelea makaburini mara kwa mara. Hakukuwa na mizuka iliyohusika. Ilikuwa ni kesi ya mtu wa kawaida kudhibitiwa na mapepo kwa kuwatishia watu wa eneo hilo. Mapepo tu hutafuta "kuua, kuiba, na kuharibu" (Yohana 10:10). Wao hufanya kitu chochote ndani ya uwezo wao kuwadanganya watu, kuongoza watu mbali na Mungu. Hii inaweze kuwa ndio maelezo ya kazi ya "kizuka" hii leo. Hata kama inaitwa maroho, zimwi mla maiti, au Pepo ghazia, kama kuna shughuli halisi ya kishetani za kiroho zinatokea, ni kazi ya mapepo.
Je kuhusu matukio ambayo "vizuka" hufanya kazi katika njia za kusaidia"? Je, na wale ambao hudai kuwa wanamwita marehemu na kupata habari muhimu kutoka kwao? Tena, ni muhimu kukumbuka kwamba lengo la mapepo ni kudanganya. Kama matokeo yake ni kwamba watu huamini katika mawazo badala ya Mungu, mapepo yatakuwa tayari zaidi kutoa taarifa ya kweli. Hata habari jema na kweli, kama kutoka chanzo kwa nia mbaya, inaweza kutumika kwa kupotosha, danganya, na kuharibu.
Maslahi katika uwazimu inazidi kuwa ya kawaida. Kuna watu na biashara ambazo zinadai kuwa "wawindaji maroho," ambao kwa bei wataondoa vizuka nyumbani kwako.
 
Hebu nieleweshe kwanini mna biblia ya agano la kale na biblia ya agano jipya? Lile la kale lilikuwa na mapungufu gani mpaka wakatengeneza agano jipya?
Biblia ni maneno ya mungu...je maneno ya mungu yana mapungufu? Kama hayana kwanini kuwe na biblia ya zamani na mpya?
Hilo agano jipya amelitunga nani?
Naomba unijibu maswali yangu...
Nani kasema lina mapungufu??
Nani katengeneza agano jipya na la kale???
 
I am sorry by saying you have very poor communication skills ,your problem is you read for the intent to reply not to understand.
I did Not say that in Quran there is truth and lies ,i did not say that in bible there is truth and lies .
I said in Islam there is truth and untruth ,I said in Christianity there is truth and untruth.,so you must be very smart to understand my words ,just get your mind right ,I am sure you will understand.
You are replying things I didn't even say ,interesting.
You are the one who has poor communication skills.
This little dictionary below will help build up your vocabulary..
Truth in Swahili is kweli
Untruth is Si kweli
Uongo is lies
Next time, use the right word to make sense or just keep quiet! In addition, writing or speaking English doesn't mean you can reason logically. It's just a language that even people like you can speak while believing in satanic verses.
 
In addition, you can't say that you personally respect Christianity while at the same time claiming there's some lies and truth in it. JUST RE READ THESE WORDS YOU HAVE WRITTEN AND SEE HOW THEY SOUND TO YOU


Who gives you the authority to judge the Bible? WHO GAVE YOU AUTHORITY TO BELIEVE IN CHRISTIANITY ?? Then see how it sounds

I'll tell you one thing that christians holy book is the Bible, WHERE DID I SAY THAT YOUR HOLY BOOK IS NOT BIBLEDO YOU SEE NOW THAT YOU ARE REPLYING THINGS I DID NOT EVEN WRITE ,poor communication skills .

we strongly believe that it's all truth and nothing but the truth from Almighty God. EXCUSE ME ,YOU SHOULD SAY I STRONGLY BELIEVE,NOT WE STRONGLY BELIEVE,THEN YOUR STRONG BELIEF DOES NOT CHANGE THE TRUTH,SINCE YOU HAVE ENCRYPTED TO BELIEVE THAT ,IT IS ALL RIGHT,BUT THE TRUTH IS ALWAYS THE TRUTH ,WHICH IS IN CHRISTIANITY THERE IS TRUTH AND UNTRUTH,WHETHER YOU ACCEPT OR NOT BUT THAT IS THE TRUTH AND IT HAS ALWAYS BEEN DISTURBING THE WAY IT DISTURBS YOU
AND LET ME TELL YOU ONE THING SIR ,
BIBLE IS THE BOOK WHICH HAS BEEN TRANSLATED IN DOZENS OF LANGUAGE from its original language,AND CHRISTIANS RELY ON THOSE TRANSALATIONS AS THE WORD OF GOD OR JESUS SAID ,the interesting part is ,do you know what happens when you translate something and rely on it as the origin one ,THINK ABOUT it .

Do you get that? NO ,I DO NOT GET THAT

your malnourished brain get , SO DO I GET YOUR MIND RIGHT ,YOU WILL BE FINE.




You must be a nutcase to claim that the Qur'an has truth and lies especially when you are also a Muslim! THESE ARE YOUR WORDS NOT MINE ,YOU ARE REPLYING WITHOUT EVEN UNDERSTANDing THE WORDS ,YOU ARE VERY INTERESTING CREATURE.

Do you think that is what Muslims believe that their Noble Qur'an contains some truth and falsehood? WHERE DID I SAY THAT QURAN CONTAINS LIES ? DO YOU SEE THAT YOU ARE THE PERSON WHO JUST PREPARE TO REPLY NOT TO UNDERSTAND,poor communication skills
 
You are the one who has poor communication skills.
This little dictionary below will help build up your vocabulary..
Truth in Swahili is kweli
Untruth is Si kweli
Uongo is lies
Next time, use the right word to make sense or just keep quiet! In addition, writing or speaking English doesn't mean you can reason logically. It's just a language that even people like you can speak while believing in satanic verses.

SEE NOW HOW YOU HAVE CHANGED THE TOPIC ,first YOU said ,I said Quran contains lies and truth ,while I said in Islam not in Quran there is uongo na ukweli,
NOW you are teaching me those words truth ,untruth and lies ,you see how you are very interesting creature ,you have totally changed the topic ,learn how to communicate with others ,man ,you will find even easier to understand.

NOW you are saying that speaking English does not mean you can reason logically ,man ,you are so defensive and reactive ,learn how to be proactive !!
Every time you introduce new thing ,that is why I said you have very bad communication skills ,just learn how to focus on topic and be present there .and stop preparing to reply ,make sure you understand first .
 
Nani kasema lina mapungufu??
Nani katengeneza agano jipya na la kale???
New version huwa ni maboresho ya old version...kama hakukuwa na mapungufu kwanini wametengeneza nyingine? Au kuna sheria zinawabana watu flani flani ndiyo maana wakatengeneza agano jipya?...nieleweshwe!!!
 
Sio kila mtumishi ana roho MTAKATIFU, wengine wanatumia hilo jina kudanganya waumini na nadhani wanaonekana kwa matendo yao
Sasa mtumishi awadanganye waumini kwa kuwaambia wale majani ili iweje? hata hao watumishi unaowaona wewe kuwa wa kweli,je unaweza kuthibitisha vp kuwa wana roho mtakatifu na shetani tu?
 
Hapo umezungumzia majini ktk elimu ya kiislamu. Kweli yako hivyo ktk uislamu. Kinyume na imani hiyo, yooote ni mashetani ibilisi tu. Nikupe kakwizi kadogo tu, hivi unadhani kwa uwezo huu ulioutaja, na kwa dhambi zao na kulaniwa kwao na nia yao ya kushindana na Mungu wangeweza kufanya mangapi ktk kutimiza nia zao?

Marekani, binadamu wameunda falsafa kadhaa za kutuhaadaa mfano demokrasia na haki za binadamu, wengi tumenaswa humo pasi kuona hila zao. Unadhani hila za shetani (jini) zingekuwa na ukubwa gani? Nimemjibu yule aliye leta thread yake kwamba ingewezekanikaje mtu asiyejua kusoma na kuandika, ayajue yaliyo makuu?
Hila za shetani na hadaa zake ni mbio za sakafuni tu.Vitimbi vya shetani ni dhaifu mno,lakini wengi wetu hatujui tu.
 
Mkuu, labda hujaelewa kitu hapa. Si kwamba Ukristu hautambui uwepo wa viumbe kinzani na Mungu.... la hasha. Ila ni akina nani hao? Kwa ukristu hao ni malaika waovu walokwishalaaniwa, hakuna wema huko. Hivyo hakuna waumini wakikristo ktk uzao wa majini. Ni hivyo tu. Pepo waovu, pepo wema ni malaika ingawa haisound vyema sana.
Neno jini lina maana gani hadi hao malaika waliyoasi mnawaita majini?
 
Duh! Pliz pliz ondoa neno 'washirika' mkuu, weka ndugu zao. Nao ushirika ni mkubwa kuliko udugu. Hivi hawa jamaa wana macho kweli? Nikiwa wazi saana, nitasema mashaka niliyonayo juu ya uislamu,.sema sidhani kama kuna muislamu atakaye kuwa huru kunisikiliza.

Nawapenda mashahidi wa Jehovah, wako huru kwa lolote uwaambialo. Embu tumuombe mmoja huru ajitokeze.
Mbona nasikia Mashahidi wa Yehova hawana sifa za kuwa wakristo.
 
New version huwa ni maboresho ya old version...kama hakukuwa na mapungufu kwanini wametengeneza nyingine? Au kuna sheria zinawabana watu flani flani ndiyo maana wakatengeneza agano jipya?...nieleweshwe!!!
Kumbe hata wewe hujui ila unadhania tu.mimi nilidhani unakwenda kunipa mapungufu hayo na walioitengeneza hiyo mpya!!!!.

Wewe nani kakwambia hizi habari umuulize yeye akueleweshe kuliko kuendelea kudhaniadhania tu????
 
Majini ni kundi la malaika waovu/ waasai au mashetani. Hawa ni roho hawana mwili hivyo hawazai,hawafi wala kuzeeka. Waliumbwa na Mungu ili wamtumikie. Nikosa kuwaomba msaada wa aina yoyote.
Sasa kwa nini wao hawasamehewi ila binadamu akimkosea mungu anasamehewa?
 
Uf. 12:7-12 “Kulikuwa na vita mbinguni, Mikael na malaika zake wakapigana na yule joka, yule joka naye akapigana nao pamoja na malaika zake, nao hawakushinda wala mahala pao hapakuonekana tena mbinguni. Yule joka akatupwa yule mkubwa nyoka wa zamani aitwaye ibilisi na shetani audanganyaye ulimwengu wote, akatupwa hata nchi, na malaika zake wakatupwa pamoja naye. Nikasikia sauti kuu mbinguni ikisema sasa kumekuwa wokovu na nguvu na ufalme wa Mungu wetu kwa maana ametupwa chini mshitaki wa ndugu zetu yeye awashtakiye mbele za Mungu wetu, mchana na usiku. Nao wakamshinda kwa damu ya mwanakondoo na kwa neno la ushuhuda wao ambao hawakupenda maisha yao hata kufa. Kwa hiyo shangilieni enyi mbingu, nanyi mkaaao humo. Ole wa nchi na bahari! Kwa maana yule ibilisi ameshuka kwenu mwenye ghadhabu nyingi akijua ya kuwa ana wakati mchache tu.”
Isaya 14:14 inamzungumzia nani?
 
Ukishakua na ROHO mbaya tuu wewe ni JINI
Ina maana ukiwa na roho mbaya unageuka malaika?

Maana tunaambiwa majini asili yao ni malaika waliasi kwa mungu na hawana nafasi ya kutubu.
 
Aliyekataa kumsujudia(kumtukuza)Adam ni Iblisi,Iblisi ndio alikiwa miongoni mwa malaika,alipoasi ndio akawa iblisi.Hivi ni viumbe wawili tofauti,kuna jini na Iblisi,ndio masna mtu akifanya jambo ovu,kama kubaka,hasemi jini kanipitia,asema shetani kanipitia au iblisi kanipitia.
Kwenye Qur'an(sio tafsiri),aliyetajwa ni Iblisi,hakuandikwa shetani,ndio maana unaposoma tafsiri ya Qur'an,husomi Qur'an,unasoma tafsiri ya Qur'an.
Mmmmmh kwahiyo kisa tu iblisi hakumsujudia Adamu, akapata hiyo adhabu.....kumbe iblisi aliumbwa ili amsujudie Binadamu duuuu hii Kali sasa....Ila leo nmejifunza kitu
 
Back
Top Bottom