Je, asili ya majini ni ipi?

Je, asili ya majini ni ipi?

Wewe sjui kama uko makini na unachoandika,kuwa na dalili ya kuwepo majini katika biblia haiondoi madai ya waislam kufungamana nayo.kikubwa uelewe majini na viumbe aina hiyo wana tafsiri gani kwa wakristo.

Kwa andiko wazi quran inawataja kuwa wamejisilimisha kwa mtume wa allah hivyo ni waislam.je hawa sio waumin wa allah???!sio washirika wenu???
Duh! Pliz pliz ondoa neno 'washirika' mkuu, weka ndugu zao. Nao ushirika ni mkubwa kuliko udugu. Hivi hawa jamaa wana macho kweli? Nikiwa wazi saana, nitasema mashaka niliyonayo juu ya uislamu,.sema sidhani kama kuna muislamu atakaye kuwa huru kunisikiliza.

Nawapenda mashahidi wa Jehovah, wako huru kwa lolote uwaambialo. Embu tumuombe mmoja huru ajitokeze.
 
Nilichomaanisha hapa ni ile dhana waliyonayo wengi kwamba uislamu una uhusiano wa kufuga Majini.Hili sio kweli.Uislamu upo pamoja na yule anayefuata kwa dhati taratibu na desturi za kiislamu.Sasa majini waasi ambao ni mashetani,uislamu hauwatambui.Na kwa wanaadamu halikadhalika ni hivyo hivyo.
Hapo tuko pamoja, si viumbe dhaifu kama ng'ombe hata wafugike. Hata hao tuwaonao ni waovu, wanaowatumia si kuyafuga ni kuyasii washirikiane nayo tu. Ndo maana huwalipa na kuyatii wavitakavyo, eg chinja mbuzi, kuku nk.
 
Duh! Pliz pliz ondoa neno 'washirika' mkuu, weka ndugu zao. Nao ushirika ni mkubwa kuliko udugu. Hivi hawa jamaa wana macho kweli? Nikiwa wazi saana, nitasema mashaka niliyonayo juu ya uislamu,.sema sidhani kama kuna muislamu atakaye kuwa huru kunisikiliza.

Nawapenda mashahidi wa Jehovah, wako huru kwa lolote uwaambialo. Embu tumuombe mmoja huru ajitokeze.
Kaka nakuona unavyoshuka vizuri kwa maswali reasonable yasiyohitaji mwanga wa jua kuyajibu.lakini sioni jibu sjui tatizo nini????
 
Majini ni kundi la malaika waovu/ waasai au mashetani. Hawa ni roho hawana mwili hivyo hawazai,hawafi wala kuzeeka. Waliumbwa na Mungu ili wamtumikie. Nikosa kuwaomba msaada wa aina yoyote.
 
kaka soma nukuu kaka, sijakurupuka kuleta haya hapa, pinga hoja kwa hoja, unangangania kuwa ni sifa ya shetwani wakati mwaingia msikiti na mashetwani? LETE HOJA KAKA, SIO VIOJA.
Je unajuwa nini maana ya Shetani ??

Je unajuwa nini Maana ya Jinni ??

Je unajuwa tofauti ya Jinni na Shetani ??

Je unajuwa Msingi/Taratibu na miongozo wa Imani ya Uislam ??

Fanya utafiti wa Jambo kabla ya kukurupuka na kujenga hoja zenye upotofu mkubwa "Acha kubeba sifa za SHETANI"
 
KAKA taratibu, mbona nishaeleza yote huko juu? kama wewe unajua zaidi au tofauti, jibu hayo maswali yako hapa na weka na nukuu toka kwenye kitabu chenu. PINGA HOJA KWA HOJA
 
Uf. 12:7-12 “Kulikuwa na vita mbinguni, Mikael na malaika zake wakapigana na yule joka, yule joka naye akapigana nao pamoja na malaika zake, nao hawakushinda wala mahala pao hapakuonekana tena mbinguni. Yule joka akatupwa yule mkubwa nyoka wa zamani aitwaye ibilisi na shetani audanganyaye ulimwengu wote, akatupwa hata nchi, na malaika zake wakatupwa pamoja naye. Nikasikia sauti kuu mbinguni ikisema sasa kumekuwa wokovu na nguvu na ufalme wa Mungu wetu kwa maana ametupwa chini mshitaki wa ndugu zetu yeye awashtakiye mbele za Mungu wetu, mchana na usiku. Nao wakamshinda kwa damu ya mwanakondoo na kwa neno la ushuhuda wao ambao hawakupenda maisha yao hata kufa. Kwa hiyo shangilieni enyi mbingu, nanyi mkaaao humo. Ole wa nchi na bahari! Kwa maana yule ibilisi ameshuka kwenu mwenye ghadhabu nyingi akijua ya kuwa ana wakati mchache tu.”
 
Kwa hakika hujuwi unacho kizungumza na pia unaleta upotofu mkubwa ambao umejaa fitina ya hatari. Kwa hakika Hii ni sifa ya Shetani.
Kiongoz unalipinga neno la allah kwani ni uongo wanawake hawaruhusiwi kuingia mskitini wakiwa hedh kwa sababu mskitini kuna majin maana ni maisilamu na chakula cha hayo maislamu menzenu ni damu na udi
 
Tatizo ni kwamba kuwa muislamu na kuishi kiislamu ni mambo mawili tofauti;iwe kwa majini au wanadamu.
Hapana mkuu! Hapa hatuongelei uchamungu. Tunaongelea kanuni tu. Je kuna majini? Je ni viumbe vya namna gani? Je wana imani wanayoiamini?wana Mungu (wachamungu) nk. Mengineyo hapana, hata mi nawe inawezekana si waumini wa hizi dini, tunaziongelea tu coz tunazijua, zimetukuza.
 
Inawezekana yote uliyoyaongea yana ukweli, ila hujajibu why yajifungamanishe na uislamu? Mkuu mi ni mzaliwa wa maeneo tofauti kikabila na kimazingila, jamii yangu nyingine ni ya Kikristu, ukristu pure. Huko hatukujuaga kama duniani kuna dini nyingine zaidi ya ukatoliki tu.

Ila na wale wenye majini huwaamrisha kufanya yapatanayo na uislamu. Hata kwa waganga wa kienyeji waso na dini kabisa. Wanautii uislamu ktk baadhi ya mambo. Why?
Mapepo wanamtii kristo na wateule tangu walipochaguliwa na kutumwa wale wanafunzi sabiini(Luka 10:1,17-20)
Luka 10:17-20
"Ndipo wale sabiini waliporudi kwa furaha,wakisema Bwana hats pepo wanatutii kwa jina lako .18.Akawaambia ,Nilimuona shetani,akianguka kutoka mbinguni kama umeme.19.Tazama nimewapa amri ya kukanyaga nyoka na nge,na nguvu zote za yule adui wala hakuna kitu kitakachowadhuru.20Lakini, msifurahi kwa vile pepo wanavyowatii ;bali furahini kwa sababu majina yanu yameandika mbinguni.
Mathayo 8:28 -32
Naye alipofika ng'ambo katika nchi ya Wagaesi ,watu wawili wenye pepo walikutana naye ;wanatoka makaburini ,wakali mno ,hata watu wasiweze kupita njia ile.
1Yesu alitumia mapepo kuwakinga Israel na wanyama wabaya na kuwaondolea mapepo au roho chafu.
2.Hapo panaonekana kuna mapepo wema na mapepo wachafu.
Katika Marko 5:1-7 inasema wakafika ng'ambo ya bahari ya mpaka nchi ya Wageresi .2 Na alipokwisha kushuka chomboni ,Mara alikutana na mtu,ambaye ametoka makaburini,mwenye pepo mchafu;3 makao yake yalikuwa pale makaburini;wala hakuna mtu yoyote aliyeweza kumfunga tena ,hata kwa minyororo 4kwa sababu alikuwa amefungwa mara nyingi kwa pingu na minyororo .........12 pepo wote wakamsihi ,wakisema tupeleke katika nguruwe tupate kuwaingia wao13 akawapa ruhusa .
3.Kwa hiyo Yesu alishirikiana na mapepo na pia biblia ilitaja kuhusu mapepo.
Tatizo la wakristo hamsomi biblia,mnafunguliwa kanisani baadhi ya aya za biblia,na nyingine mnafichwa..

Inawezekana yote uliyoyaongea yana ukweli, ila hujajibu why yajifungamanishe na uislamu? Mkuu mi ni mzaliwa wa maeneo tofauti kikabila na kimazingila, jamii yangu nyingine ni ya Kikristu, ukristu pure. Huko hatukujuaga kama duniani kuna dini nyingine zaidi ya ukatoliki tu.

Ila na wale wenye majini huwaamrisha kufanya yapatanayo na uislamu. Hata kwa waganga wa kienyeji waso na dini kabisa. Wanautii uislamu ktk baadhi ya mambo. Why?
Mapepo wanamtii kristo na wateule tangu walipochaguliwa na kutumwa wale wanafunzi sabiini(Luka 10:1,17-20)
Luka 10:17-20
"Ndipo wale sabiini waliporudi kwa furaha,wakisema Bwana hats pepo wanatutii kwa jina lako .18.Akawaambia ,Nilimuona shetani,akianguka kutoka mbinguni kama umeme.19.Tazama nimewapa amri ya kukanyaga nyoka na nge,na nguvu zote za yule adui wala hakuna kitu kitakachowadhuru.20Lakini, msifurahi
 
Wamaa khalatul jjina wal insa ila liabudun katka qur an Allah anasema hakuumba majin na watu icpokua wajekumuabu hlo ndio lengo la kuumbwa

Ifahamike unavyoona tabia za bnadam bac na main pia n hvyo hvyo wapo wanaoabud na wapo Waco abudu

Alaf jn hana cfa ya kuonekana icpokua n fkra za kbnadam kuona kitu tofaut na kukfanansha na in yote n kwamba hajawah kumuona anajarbu kujenga pcha tu
 
Kiongoz unalipinga neno la allah kwani ni uongo wanawake hawaruhusiwi kuingia mskitini wakiwa hedh kwa sababu mskitini kuna majin maana ni maisilamu na chakula cha hayo maislamu menzenu ni damu na udi
Acha kupotosha , Acha kubeba sifa za Shetani Msikiti ni eneo takatifu hairuhusiwi kuingia ndani ukiwa mchafu hata wewe ukiwa na uchafu/Janaba ni haramu kusali na kuingia msikitini hivyo hoja yako ya Kishetani haina mashiko zaidi ya kupandikiza uongo wa kufurahisha baraza. Hongera sana kwa kubeba sifa za "SHETANI"
 
Ni propaganda tu,kama wangekuwa wanafungamana na uislamu,biblia ilikuja kwanza kabla ya Qur'an,mbona wametwaja ndani ya biblia,na wakati yakitajwa na yakijulikana yapo,huko ilikoandikwa biblia kulikuwa hakuna muislamu hata mmoja.
Na ikiwa wako kwa waislamu tu,wazungu ambao ni wakristo walipaata wapi neno devil.
Propaganda hizo zinaenezwa na nani coz kuna waislamu wenye majini na ndo waliowengi kihome tunaita marohani? Mengine yote nimeshakujibu nadhani, si kwa wazungu tu hata waafrika wasonadini, waganga wa matunguli.... pia huutii uislamu. Fanya research ndogo tu, nenda kwa mganga wa matunguli siku ya ijumaa,atakuambia no, leo si siku yakufanya kazi.
 
Mkuu wale manabii wanao waambia waumini wale majani au kuwapulizia dawa ya mbu kwa kudai ni ameambiwa na roho mtakatifu, je unafikiri ni kweli roho mtakatifu anaweza akaelekeza kufanyika hivyo au ni shetani?
Kwahiyo wewe ukisikia nabii au roho mtakatifu ndo tiari unajua ni mkristo
 
Uf. 12:7-12 “Kulikuwa na vita mbinguni, Mikael na malaika zake wakapigana na yule joka, yule joka naye akapigana nao pamoja na malaika zake, nao hawakushinda wala mahala pao hapakuonekana tena mbinguni. Yule joka akatupwa yule mkubwa nyoka wa zamani aitwaye ibilisi na shetani audanganyaye ulimwengu wote, akatupwa hata nchi, na malaika zake wakatupwa pamoja naye. Nikasikia sauti kuu mbinguni ikisema sasa kumekuwa wokovu na nguvu na ufalme wa Mungu wetu kwa maana ametupwa chini mshitaki wa ndugu zetu yeye awashtakiye mbele za Mungu wetu, mchana na usiku. Nao wakamshinda kwa damu ya mwanakondoo na kwa neno la ushuhuda wao ambao hawakupenda maisha yao hata kufa. Kwa hiyo shangilieni enyi mbingu, nanyi mkaaao humo. Ole wa nchi na bahari! Kwa maana yule ibilisi ameshuka kwenu mwenye ghadhabu nyingi akijua ya kuwa ana wakati mchache tu.”
Kwahiyo ibilisi ndiyo huyo huyo shetani, lakini hawa waislamu wanadai ni tofauti. Tatizo jamaa hawa wanaitetea Qur'an yao kiasi cha kushindwa kujiuliza maswali juu ya kitabu wanachokiami kama kina make any sense. Sisi wakristo tunaelewa Qur'an ni kitabu full of contradictions, confusions and unreadable.
 
Wengi wenu awana hii Elimu ya kuhusu majini,
majini yanaishi umri mrefu sana miaka mia 3
Walianza kuishi wao zaidi ya miaka mia 3 ndio anaumbwa binaadam
Majini yalimuhasi mungu , wakatumwa malaika kuja duniani kupambana na majini , majini yakazidiwa nguvu yakakimbilia kwenye majabali, na mengine kwenye miti mikubwa na mengine yakakimbilia bahalini

huku kwenye mapambano yakamuacha mtoto wao,
Yale majeshi ya mungu malaika yakamchukua yule mtoto jini wakaenda nae mbinguni,

Yule mtoto jini aliishi na malaika kwa muda mrefu sana
Mbaka siku m, mungu anamuumba binadam kwa kufinyanga udondo yule mtoto jini anashuhudia kila kitu,
Mwisho wa siku pale ilipotoka amri ya kumsujudia binadam , malaika walikubari mara moja ile amri ya mungu lakini yule mtoto jini aligoma kumsujudia binaadam, ndio lilipo zaliwa neno ibilis au sheitwan,
Kuanzia pale yule mtoto jini akaitwa sheitwan

Nae aliomba akae na huyu binaadam ili miongoni mwao hawa binaadam atapata humo wafuhasi wake atakao henda nao motoni,
hiyo ndio tofauti ya jini na shetani ,, shetani anaweza kuwa hata wewe au mimi
Lakini mimi au wewe unaesoma hapo hauwezi ukawa ni jini..
 
Acha kupotosha , Acha kubeba sifa za Shetani Msikiti ni eneo takatifu hairuhusiwi kuingia ndani ukiwa mchafu hata wewe ukiwa na uchafu/Janaba ni haramu kusali na kuingia msikitini hivyo hoja yako ya Kishetani haina mashiko zaidi ya kupandikiza uongo wa kufurahisha baraza. Hongera sana kwa kubeba sifa za "SHETANI"
Shetan yuko msikitini wanakosali majini si kwangu
 
Acha kupotosha , Acha kubeba sifa za Shetani Msikiti ni eneo takatifu hairuhusiwi kuingia ndani ukiwa mchafu hata wewe ukiwa na uchafu/Janaba ni haramu kusali na kuingia msikitini hivyo hoja yako ya Kishetani haina mashiko zaidi ya kupandikiza uongo wa kufurahisha baraza. Hongera sana kwa kubeba sifa za "SHETANI"
Shetan mkubwa ni allah alikuandalia mito ya pombe na bukira 72
 
Back
Top Bottom