haszu
JF-Expert Member
- Oct 10, 2017
- 1,559
- 3,812
Ni haki ya kila binadamu kuishi, kuheshimiwa na kuishi kwa amani. Cha ajabu watu wanaojifanya wako na dini sana ila hawana ubinadam.
Leo Papa amefariki, moja ya msingi mkubwa aliokua akisimamia ni ubinadam, aliamini katika utu, ukarimu na amani.
watu wwalimsema sana kutokana na kauli zake zilizoonesha kutetea LGBTQ community, lakini ni papa huyo huyo alipinga mauaji ya Wapalestina.
pia LGBTQ wengi wameonesha huruma zaidi kwa Wapalestina japo wanajua wengi wanapinga idea za LGBTQ.
wengi waliompiga papa kusema LGBTQ wasihukumiwe, wapo wanaoshangilia mauaji ya Wapalestina. Rest in peace Pope.
Je nani ni muovu? Dini bora ni ipi zaidi ya ubinadam?