Je, asili ya majini ni ipi?

Je, asili ya majini ni ipi?

Acha uwongo hapa imesema ya kua Mungu aliisha ijua fikra ya Lucifer hivyo ili kumuumbua mbele za malaika akaitisha kikao cha malaika wote akisema basi tuumbeni mtu kwa mfano wetu baada ya kuumbwa Mungu akasema wamsujudie lakini Lucifer na wenzie hawakusujudu baadae Mungu akamuuliza mbona haukusujudia Lucifer akasema hawezi kusujudia bina adamu alie umbwa kwa tope hapo ndipo Mungu akamlaani nakumfukuza yeye na wafuasi wake ambao leo ni mapepo. Wakristo wapi wamesema kua Lucifer alikua ameasi kabla ya Adam kuumbwa Adam tuletee andiko. Nasuala lakua na mapepo ya ulevi,ushirikina na dhambi zingine hiyo nikweli kila mtu anapepo lake wengine ni muziki au ngoma utakuta akisikia ngoma mpaka nguo anavua au akisikia muziki mapigo ya moyo yana badilika
Natamani kujua haya maelezo ulipoyatoa
 
Kasema kila binadamu akizaliwa anakuwa na jini(sio kila muislamu tu).Ndio maana huko makanisani mwenu,kutwa mnatoana majini,na hawatoki.Huoni kama maneno yake ni kweli.Kama majini yangekuwa kwa waislamu tu,hayo mnayotoana makanisani ni malaika?
Hayo mnatutupia nyinyi lakini sisi hatuwi na majini maana sio ndugu zetu mnaoswali nao ndo ndugu zenu.pia hawa wanayapata kupitia njia tofauti kama marashi yakutoka uarabuni,na vitu vingine vya kuiga kama mitindo ya nywele na mavazi lakini wakristo hawana urafiki na majini.
 
Uliona msikiti gani watu wakatoana majini,ni kuwa hakuna.Lakini kanisani matoana majini,lakini haweshi ndio wanazidi.
Uliona wapi mtu kamfukuza malaika wake kama si kumlinda .mnafukiza maudi yanini kama sikulisha majini? Haya swali kama msikitini hakuna majini mbona dada zenu hawashiriki ibaada wakiwa hedhi kama hujui nakueleza au kama mnafichwa leo nitakueleza chakula cha jini ni damu ndo maana dada zenu hawaeindi ibada wakiwa hedhi.
 
Injili haina ilmu ya majini.shetani alikuwa miongoni mwa malaika ambao waliishi mbinguni,M/Mungu aliwaambia malaika nataka kumuweka khalifa(mfwatizi) katika dunia malaika wakasema unataka umuweke ambaye atamwaga damu.M/Mungu akasema Mimi na jua kuliko nyinyi basi akamuumba Adam(kutokana na udongo)akamfundisha vitu/majina mbalimbali.M/Mungu akawaita malaika akawambia tajeni majina ya vitu hivi mkiwa mnasema kweli malaika subhanallah(umetakasika)hatujui ila ulivyotufundisha.Basi Adam akawambia awatajia M/Mungu akawambia msujudieni Adam wote walisujudu isipokuwa shetwani akasema nimsujudie uliyemuumba kwa udongo?Ebu nipe habari zake basi ukinipa muhula(uhai)nitazingamiza dhuria zake(vizazi).M/Mungu akamwambia toka akamfukuza mbinguni akamwambia hakika umepewa muhula nakuhaidi ataekufuata wewe katika waja wangu nitawaangamiza.Majini waliumbwa kabla ya adamu na walishi duniani hawa ni viumbe kama viumbe wengine ambao waliumbwa na M/Mungu.Na siku ya kiama tutawakusanya binadamu na majini(qurani).lakini kuna shetani wa kijini na shetani wa kibinadamu yaani majini wapo makundi mbalimbali wachamungu na wasiomcha Mungu.Na siku ya hukumu wote watahesabiwa binadamu na majini lakini shetwani yeye hana hesabu kwa sababu makazi yake motoni alishaahidiwa.[/source Quran]
 
Hahaaa hakia Mungu hapa shetani kateka watu kwelikweli haya na hayo majini yalikua yanaishi wapi?
 
Haya maelezo yananipa wasi wasi na iman yako utakua wewe unayaheshimu sana majini si hivyo tu utakuwa unafuga majini wewe na utakua unayatolea sadaka iman yako si ya kweli kaka wewe ni wa moton tu pole sana
 
Uliona wapi mtu kamfukuza malaika wake kama si kumlinda .mnafukiza maudi yanini kama sikulisha majini? Haya swali kama msikitini hakuna majini mbona dada zenu hawashiriki ibaada wakiwa hedhi kama hujui nakueleza au kama mnafichwa leo nitakueleza chakula cha jini ni damu ndo maana dada zenu hawaeindi ibada wakiwa hedhi.
Asante sana kwakua mkweli kaka yangu mi niliogopa kumwambia ukweli asante kwa kunisaidia hakika hawa ndugu zetu wamepotoka
 
wewe mimi nadhani hata bible ya haswa huisomi, unasikia na wewe unasema bila ya hata kutumia akili yako hata chembe.
ngoja nikupe shule kidogo.
Mwenyezi Mungu aliumba Malaika, majini na binaadamu. Na wote hawa kawaumba kwa ajili ya kumtumikia yeye.
Malaika waliumbwa kwa nuru, Majini kwa moto na binaadamu kwa udongo.
Katika Malaika hawa ni special wameumbwa na hawamuasi Mwenyezi Mungu kamwe, ni wenye kuabudu tuu.
Binaadamu na Majini sisi ndio tulokuwa na Mitihani maana ndio tupo hapa ulimwenguni,
tulichoumbiwa ni kumuabudu Mwenyezi Mungu. Na atakaemuasi ikiwa jini au binaadamu basi Mwenyezi Mungu hatamuacha siku ya mwisho atamuingiza motoni, na ikiwa atafuata maarisho ya Mungu ikiwa jini au binaadamu akitaka mwenyewe Mungu atamuingiza peponi.
Sasa ikiwa jini au binaadamu atamuasi Mwenyezi Mungu huyo ndio anakuwa shaytani. Maisha yao ya kuzaliana kama sisi tunavyozaliana ila tumetofautiana na vyakula vyao na makaazi yao wanayoishi.
Na hawana nguvu yoyote ile ya kusema kuwaogopa, Mtume Suleiman yeye alipewa ufalme wa watu, majini, wanyama, ndege, upepo N.k Ni ulfalme ambao alimuomba Mwenyezi Mungu asijempa yoyote badala yake.
Na walikuwa chini ya amri ya Mtume Suleiman aliwadhibiti sawa sawa.
Haya yamo ndani ya Quran tukufu.
binaadamu hutakiwi kuwaogopa kabisa wao ni viumbe wameumba kama sisi, na wengine huwaogopa binaadamu haswa.
Na binaadamu hatakiwi kuyaingilia katika maisha yao na wao hawatakiwi kutuingilia katika maisha yetu. Ila kama utawaingilia na kutaka kujua zaidi na kuwafatilia utaishia katika shirki ambayo itakupeleka kuunguzwa na Mwenyezi Mungu.

TATIZO BAADHI YA WASIOKUWA WAISLAM WANAKURUPUKA SANA NA KUTOA MAJIBU AMBAYO HATA AKILINI HAYAINGII, BINAADAMU SOMA MWENYEWE UELEWE USIKUBALI KUHADITHIWA TUU.
KWA NGUVU ZA NANI KWA NGUVU ZA NANI TOKA HAMNA KITU HICHO NI KIINI MACHO TUU CHA KUCHEZEWA.
MWENYE UWEZO WA KUMTOA JINI AKIKUSIBU NI MWENYEZI MUNGU PEKEE YAKE.
KUNA VISOMO KATIKA QURAN UNASOMA KAMA AKIKUPATA, NA JINI HAMPATI MTU AMBAE AMEJIWEKA MBALI NA MAMBO AMBAYO MWENYEZI MUNGU AMEHARAMISHA.
KAMA MTU ANASEMA SHEIKH ANA MAJINI NI MUONGO, KUNA BAADHI YA WATU HUWAFUTILIA HAWA MAJINI AMBAO KWA MAJINA WANAITWA WAISLAM ILA UNAKUWA USHAJIVUA KATIKA UISLAM IKIWA WEWE KAZI YAKO KUYAFUGA KWA AJILI YA SHIRKI.
HAKUNA USHIRIKA WOWOTE UNAOHUSIANA UISLAM NA MAJINI, NI KUWA ATI WAISLAM WANATUMIA MAJINI, MSIDANGANYWE MKADANGANYIKA.

NI KATIKA QURAN KILA KITU KIMO WATU WAACHE UVIVU WASOME
UMEJIBU VIZURI SANA, TATIZO WENGI WETU TUNATOA MAJIBU KWA HOJA ZA MIHEMKO YA KIIMANI NA SIYO KWA UHALISIA NA UKWELI WA JINSI MAMBO YALIVYO
 
Kwa hakili yako isiyokuwa na hakili ndani yake ndo umeona kuwa hilo jibu ni la kiuhalisia wala sio la kiiman
 
Uliona wapi mtu kamfukuza malaika wake kama si kumlinda .mnafukiza maudi yanini kama sikulisha majini? Haya swali kama msikitini hakuna majini mbona dada zenu hawashiriki ibaada wakiwa hedhi kama hujui nakueleza au kama mnafichwa leo nitakueleza chakula cha jini ni damu ndo maana dada zenu hawaeindi ibada wakiwa hedhi.
Kifungu gani kwenye biblia au Qur'an kinaeleza hivyo?
 
Unasema shetani ni tabia, wakati Qur'an yako inaonyesha ni kiumbe ambaye alikataa "kumsujudia Adam."

Basi sema tabia alikataa kumsujudia Adam!! Hivyo tabia anaweza kukataa au kujivuna na kuwa kafiri?
Nyinyi waislamu tabu sana. Sijui mna akili za namna gani?

Al baqarah 2:34. And We said to the angels, "Bow down to Adam." They bowed down, except for Satan. He refused, was arrogant, and was one of the disbelievers

2:34.Na tulipo waambia Malaika: Msujudieni Adam, wakamsujudia wote isipo kuwa Iblis, alikataa na akajivuna na akawa katika makafiri.

Brother with all respect ,

Al baqarah 2:34. And We said to the angels, "Bow down to Adam." They bowed down, except for Satan

Al baqarah 2:34. And We said to the angels, "Bow down to Adam." They bowed down, except for Ibilis

There is a problem of language here ,and language is one of the most important thing to understand your faith ,whether you are Christian or Muslim .it's something you have to work for it in concerted efforts,it's not something you can understand just by coping and pasting .
Na hili sio tu kwako even for Muslims themselves ,kwani how many Muslims recite Quran very well lakini hawajui maana ya kile wanacho kisoma,so how do you expect a person like that to understand his faith and religion ?

And the truth is ,we can't take literal meaning like translations etc etc and say that we have understood the scripture(divine ) ,it's totally wrong,those scriptures (Torah,Quran ,bible ) are divine ,and anything which is divine should never be interpreted literally,do you understand ? They are some things metaphorically/figuratively ,that is to say they should never be taken in a literal sense ,otherwise,you are going to mislead thousands of people .

And some verses whether in bible or in Torah or Quran need special commentary brother !

My advice to you dear brother !

Kama you really need to know your reason and purpose in this mundane world ,you shall not be bias .
Nothing is as disturbing as the truth,
The truth is ,ndani ya Christianity kuna uongo na ukwel ,ndani ya uislam kuna uongo na ukwel ,ndani ya Judaism kuna uongo na ukwel etc etc henceforth ,it is your duty to separate the truth from untruth ,as the Bible says ,separate the chaff from the wheat .

So how can you understand things in metaphorical sense ?
Al jawabu is ,you have to transcend to that level of consciousness in a divine dimension,you will experience and understand things others struggle to do so .

l personally respect very much
Christianity,Judaism and it is true that I am Muslim and never felt guilty about that but I am not agreeing with everything in Islam that comes across in my mind,i have to reason and judge,God gave me this mind to do so ,not to be stupid and dope ,not to believe everyone,everything,every story etc etc .
Thanks !
 
Kwanini umemtolea mfano huyo Mwanafalsafa? Is he Perfect?

Swali linahitaji jibu na sio swali.
Nimemtolea mfano huyo mwanafalsafa si kwa sababu ni perfect, bali kwa sababu ukimsoma na kumuelewa unaweza kuelewa mantiki ya kujibu swali kwa swali.

Hata Yesu alipoulizwa kama watu walipe pesa za kodi kwa Kaizari au wasilipe, hakujibu moja kwa moja kwamba walipe au wasilipe.

Aliwauliza watu kwani hiyo pesa ina picha ya nani?

Hilo lilikuwa swali lililojibu swali na kutoa jibu zuri sana la swali kuliko hata kumwambia mtu alipe kodi kwa Kaisari.

It is necessary to go from the complex to the simple in the quest for understanding.

Sometimes, it is necessary to answer a question with a question in order to go from the complex to the simple.
 
Neno kusujudu(kumuadhimisha)sio kusujudu kwa vitendo.
Leo kusujudu kumepata maana nyingine lasmi kwa waislam .

Sisi wakristo huwa tunawaambia kusujudu kwa vitendo sio ishu, ishu ni nini lengo la kusujudu, kama unajua lengo hata kama utasali ukiwa umekaa utaonekana na Mungu.
 
Kasema kila binadamu akizaliwa anakuwa na jini(sio kila muislamu tu).Ndio maana huko makanisani mwenu,kutwa mnatoana majini,na hawatoki.Huoni kama maneno yake ni kweli.Kama majini yangekuwa kwa waislamu tu,hayo mnayotoana makanisani ni malaika?
Majini hayasubui msikitini sababu yapo nyumbani kwao.

Kuna video iliwekwa humu ustadh kessy aliyachokoza, unajua nini kilitokea .tembea uone.
 
Uliona msikiti gani watu wakatoana majini,ni kuwa hakuna.Lakini kanisani matoana majini,lakini haweshi ndio wanazidi.
sasa mbona hueleweki!!.

Msikitini hakuna majini tena.nikuletee aya humu kwamba ni ndugu zenu waislam.yalipokea ujumbe wa mtume wao muhamad???.
 
Brother with all respect ,

Al baqarah 2:34. And We said to the angels, "Bow down to Adam." They bowed down, except for Satan

Al baqarah 2:34. And We said to the angels, "Bow down to Adam." They bowed down, except for Ibilis

There is a problem of language here ,and language is one of the most important thing to understand your faith ,whether you are Christian or Muslim .it's something you have to work for it in concerted efforts,it's not something you can understand just by coping and pasting .
Na hili sio tu kwako even for Muslims themselves ,kwani how many Muslims recite Quran very well lakini hawajui maana ya kile wanacho kisoma,so how do you expect a person like that to understand his faith and religion ?

And the truth is ,we can't take literal meaning like translations etc etc and say that we have understood the scripture(divine ) ,it's totally wrong,those scriptures (Torah,Quran ,bible ) are divine ,and anything which is divine should never be interpreted literally,do you understand ? They are some things metaphorically/figuratively ,that is to say they should never be taken in a literal sense ,otherwise,you are going to mislead thousands of people .

And some verses whether in bible or in Torah or Quran need special commentary brother !

My advice to you dear brother !

Kama you really need to know your reason and purpose in this mundane world ,you shall not be bias .
Nothing is as disturbing as the truth,
The truth is ,ndani ya Christianity kuna uongo na ukwel ,ndani ya uislam kuna uongo na ukwel ,ndani ya Judaism kuna uongo na ukwel etc etc henceforth ,it is your duty to separate the truth from untruth ,as the Bible says ,separate the chaff from the wheat .

So how can you understand things in metaphorical sense ?
Al jawabu is ,you have to transcend to that level of consciousness in a divine dimension,you will experience and understand things others struggle to do so .

l personally respect very much
Christianity,Judaism and it is true that I am Muslim and never felt guilty about that but I am not agreeing with everything in Islam that comes across in my mind,i have to reason and judge,God gave me this mind to do so ,not to be stupid and dope ,not to believe everyone,everything,every story etc etc .
Thanks !
There's no problem of language whatsoever, except the problem is you for lack of sufficient knowledge of your own Qur'an! You must be a nutcase to claim that the Qur'an has truth and lies especially when you are also a Muslim! Do you think that is what Muslims believe that their Noble Qur'an contains some truth and falsehood? You dare say that in the face of an Isis or any Muslim I'm sure you will loose your life! That's not respecting the Qur'an as you claim to be! You seem to be inexperience and narrow minded. Be warned! Never say to a radical Muslim that there's some truth and some lies... That's blasphemy!

In addition, you can't say that you personally respect Christianity while at the same time claiming there's some lies and truth in it. Who gives you the authority to judge the Bible? I'll tell you one thing that christians holy book is the Bible, we strongly believe that it's all truth and nothing but the truth from Almighty God. Do you get that? Does your malnourished brain get that?

There's nothing bias for quoting the verse/ Aya and use it as a reference for my argument. I didn't merely copy and paste, I literally used the aya as reference to support my argument.

The Quran I used was translated by a scholar who certainly knows the Qur'an better than you! I did not write nor translate it, so stop calling people bias. Now find out who is Talal Itani and go blame him for the wrong translation of the word Satan.
 
Brother with all respect ,

Al baqarah 2:34. And We said to the angels, "Bow down to Adam." They bowed down, except for Satan

Al baqarah 2:34. And We said to the angels, "Bow down to Adam." They bowed down, except for Ibilis

There is a problem of language here ,and language is one of the most important thing to understand your faith ,whether you are Christian or Muslim .it's something you have to work for it in concerted efforts,it's not something you can understand just by coping and pasting .
Na hili sio tu kwako even for Muslims themselves ,kwani how many Muslims recite Quran very well lakini hawajui maana ya kile wanacho kisoma,so how do you expect a person like that to understand his faith and religion ?

And the truth is ,we can't take literal meaning like translations etc etc and say that we have understood the scripture(divine ) ,it's totally wrong,those scriptures (Torah,Quran ,bible ) are divine ,and anything which is divine should never be interpreted literally,do you understand ? They are some things metaphorically/figuratively ,that is to say they should never be taken in a literal sense ,otherwise,you are going to mislead thousands of people .

And some verses whether in bible or in Torah or Quran need special commentary brother !

My advice to you dear brother !

Kama you really need to know your reason and purpose in this mundane world ,you shall not be bias .
Nothing is as disturbing as the truth,
The truth is ,ndani ya Christianity kuna uongo na ukwel ,ndani ya uislam kuna uongo na ukwel ,ndani ya Judaism kuna uongo na ukwel etc etc henceforth ,it is your duty to separate the truth from untruth ,as the Bible says ,separate the chaff from the wheat .

So how can you understand things in metaphorical sense ?
Al jawabu is ,you have to transcend to that level of consciousness in a divine dimension,you will experience and understand things others struggle to do so .

l personally respect very much
Christianity,Judaism and it is true that I am Muslim and never felt guilty about that but I am not agreeing with everything in Islam that comes across in my mind,i have to reason and judge,God gave me this mind to do so ,not to be stupid and dope ,not to believe everyone,everything,every story etc etc .
Thanks !
IMG_20170203_022015.jpg
IMG_20170203_021918.jpg

Now read the attachment then argue what iblis mean according to the two Muslim scholars.
 
Majini hayasubui msikitini sababu yapo nyumbani kwao.

Kuna video iliwekwa humu ustadh kessy aliyachokoza, unajua nini kilitokea .tembea uone.
Sio kweli,mtoto akiawa kwao ndio anakuwa mtundu.Wewe wafikiri wale wachunaji wanaopiga kelele makanisani,na kufoka foka ni akili zao zile?Ni mapepo wachafu yamewavaa.Na ndio pia ukaona wanawake wanaokwenda makanisani wanavaa nusu uchi,ni mapepo machafu ,yamewavaa.
 
sasa mbona hueleweki!!.

Msikitini hakuna majini tena.nikuletee aya humu kwamba ni ndugu zenu waislam.yalipokea ujumbe wa mtume wao muhamad???.
Wale ni ndugu na wakristo,ndio maana walimchukuwa Yesu wakambeba jujuu,na kumuweka na njaa siku 40,bila kudhurika,jangwani kwenye jua Kali.
 
Back
Top Bottom