Je, asili ya majini ni ipi?

Je, asili ya majini ni ipi?

Mkuu! Ha ha ha ha ha ha
Unachekesha sana
Ushawahi ona wapi jini akaitwa majina ya kikristo?

Hakuna jina hata moja la kikristo la majini
Tafuta popote na ulete mrejeo hapa
Kwanza jina la kikristo ndiyo lipi?
 
Hakuna ushirika kati nuru na giza. waacheni wenye kuamini majini kuwa viumbe wa Mwenyezi Mungu waendelee kushikiana nao maana nao wamo gizani. Biblia haijataja sehemu yoyote kwamba Mungu aliwaumba Majini na kuwa weka ulimwenguni, na hakuna kitabu kingine zaidi ya biblia. It is called The Book. hao wanaoamini kuwa manabii wote waliowahi kutumwa na Mwenyezi Mungu ni Wayahudi isipokuwa nabii wa Mwisho (muhamad) na wakati huo huo wanawachukia Wayahudi waacheni waendelee na dini yao ya Baali na kuamini kuwa kuna majini wazuri.
Ni wapi biblia ilipotaja kuwa majini ni malaika waliyoasi?
 
Majini ni malaika walio muasi Mungu pamoja na Shetani ,Majini yanatumiwa na shetani kutumikisha watu. wakrito wanayaita mapepo .Hakuna ushirika wowote kati ya ukristo na majini au mapepo ,kiufupi hayataki jina la Yesu. Ila kuna ushirika mkubwa kati ya uislamu na Majini ,wanaswali nayo wanasema ni maislamu .Mimi hapo ndio napata mashaka makubwa juu ya Dini hii.
Ngoja nkutoe mashaka basi kidogo.

Katika hawa majini wapo waasi na wapo wanaomuabudu Allah. Ndio uislam una uhusiano na majini, kwanini tukatae wakati Mungu ndio aliowaumba? Kama tulivo sisi wapo wema na wapo wabaya, na wabaya ndo huitwa mashetani.

Labda nikuulize wewe, nani kawaumba mapepo?
 
Acha uwongo hapa imesema ya kua Mungu aliisha ijua fikra ya Lucifer hivyo ili kumuumbua mbele za malaika akaitisha kikao cha malaika wote akisema basi tuumbeni mtu kwa mfano wetu baada ya kuumbwa Mungu akasema wamsujudie lakini Lucifer na wenzie hawakusujudu baadae Mungu akamuuliza mbona haukusujudia Lucifer akasema hawezi kusujudia bina adamu alie umbwa kwa tope hapo ndipo Mungu akamlaani nakumfukuza yeye na wafuasi wake ambao leo ni mapepo. Wakristo wapi wamesema kua Lucifer alikua ameasi kabla ya Adam kuumbwa Adam tuletee andiko. Nasuala lakua na mapepo ya ulevi,ushirikina na dhambi zingine hiyo nikweli kila mtu anapepo lake wengine ni muziki au ngoma utakuta akisikia ngoma mpaka nguo anavua au akisikia muziki mapigo ya moyo yana badilika
Lete reference sio unamwaga sera kama sio msomi
 
Kasema kila binadamu akizaliwa anakuwa na jini(sio kila muislamu tu).Ndio maana huko makanisani mwenu,kutwa mnatoana majini,na hawatoki.Huoni kama maneno yake ni kweli.Kama majini yangekuwa kwa waislamu tu,hayo mnayotoana makanisani ni malaika?
Ungemalizia kabisa according to Quran mkuu, Ila kwenye biblia hakuna kitu kama hicho
 
Ni wapi katika biblia palipotaja kuwa Jini ni malaika aliyeasi?

Na ikiwa malaika nao wanamkosea mungu kama tulivyo binadamu je,nao husamehewa wakiomba msamaha kwa mungu?
 
Angalia kwenye Biblie utalipata mkuu!
Nimeuliza jina la kikristo ndiyo lipi sasa unaponiambia ningalie biblia tu ndiyo nitajuaje kuwa hili ndiyo jina la kikristo na hili siyo?

Nisaidie niweze kujua majina ya kikristo ndiyo yapi.
 
Brother with all respect ,

Al baqarah 2:34. And We said to the angels, "Bow down to Adam." They bowed down, except for Satan

Al baqarah 2:34. And We said to the angels, "Bow down to Adam." They bowed down, except for Ibilis

There is a problem of language here ,and language is one of the most important thing to understand your faith ,whether you are Christian or Muslim .it's something you have to work for it in concerted efforts,it's not something you can understand just by coping and pasting .
Na hili sio tu kwako even for Muslims themselves ,kwani how many Muslims recite Quran very well lakini hawajui maana ya kile wanacho kisoma,so how do you expect a person like that to understand his faith and religion ?

And the truth is ,we can't take literal meaning like translations etc etc and say that we have understood the scripture(divine ) ,it's totally wrong,those scriptures (Torah,Quran ,bible ) are divine ,and anything which is divine should never be interpreted literally,do you understand ? They are some things metaphorically/figuratively ,that is to say they should never be taken in a literal sense ,otherwise,you are going to mislead thousands of people .

And some verses whether in bible or in Torah or Quran need special commentary brother !

My advice to you dear brother !

Kama you really need to know your reason and purpose in this mundane world ,you shall not be bias .
Nothing is as disturbing as the truth,
The truth is ,ndani ya Christianity kuna uongo na ukwel ,ndani ya uislam kuna uongo na ukwel ,ndani ya Judaism kuna uongo na ukwel etc etc henceforth ,it is your duty to separate the truth from untruth ,as the Bible says ,separate the chaff from the wheat .

So how can you understand things in metaphorical sense ?
Al jawabu is ,you have to transcend to that level of consciousness in a divine dimension,you will experience and understand things others struggle to do so .

l personally respect very much
Christianity,Judaism and it is true that I am Muslim and never felt guilty about that but I am not agreeing with everything in Islam that comes across in my mind,i have to reason and judge,God gave me this mind to do so ,not to be stupid and dope ,not to believe everyone,everything,every story etc etc .
Thanks !
Na wewe unajiona umeandika point, there is no difference between Iblis and Satan.
 
Isaya 14:14 inamzungumzia nani?

11. Thy pomp is brought down to the grave, and the noise of thy viols: the worm is spread under thee, and the worms cover thee. 12 How art thou fallen from heaven, O Lucifer, son of the morning! how art thou cut down to the ground, which didst weaken the nations. 13. For thou hast said in thine heart, I will ascend into heaven, I will exalt my throne above the stars of God: I will sit also upon the mount of the congregation, in the sides of the north:
14. I will ascend above the heights of the clouds; I will be like the most High. 15. Yet thou shalt be brought down to hell, to the sides of the pit.
 
Mbona nasikia Mashahidi wa Yehova hawana sifa za kuwa wakristo.
Anzisha mada katika hili nikupe ishu kamili, sio tu kuwa hawana sifa ya kuwa wakristo, bali kuna uhusiano na masonic katika kuanzishwa kwake.
 
Nimeuliza jina la kikristo ndiyo lipi sasa unaponiambia ningalie biblia tu ndiyo nitajuaje kuwa hili ndiyo jina la kikristo na hili siyo?

Nisaidie niweze kujua majina ya kikristo ndiyo yapi.
Haya ni Baadhi ya majina ya kikristo yaliyomo ndani ya Biblia

Mathayo 1:2-15
[2]Ibrahimu alimzaa Isaka; Isaka akamzaa Yakobo; Yakobo akamzaa Yuda na ndugu zake;
[3]Yuda akamzaa Peresi na Zera kwa Tamari; Peresi akamzaa Esromu; Esromu akamzaa Aramu;
[4]Aramu akamzaa Aminadabu; Aminadabu akamzaa Nashoni; Nashoni akamzaa Salmoni;
[5]Salmoni akamzaa Boazi kwa Rahabu; Boazi akamzaa Obedi kwa Ruthu; Obedi akamzaa Yese;
[6]Yese akamzaa mfalme Daudi.
Daudi akamzaa Sulemani kwa yule mke wa Uria;
[7]Sulemani akamzaa Rehoboamu; Rehoboamu akamzaa Abiya; Abiya akamzaa Asa;
[8]Asa akamzaa Yehoshafati; Yehoshafati akamzaa Yoramu; Yoramu akamzaa Uzia;
[9]Uzia akamzaa Yothamu; Yothamu akamzaa Ahazi; Ahazi akamzaa Hezekia;
[10]Hezekia akamzaa Manase; Manase akamzaa Amoni; Amoni akamzaa Yosia;
[11]Yosia akamzaa Yekonia na ndugu zake, wakati wa ule uhamisho wa Babeli.
[12]Na baada ya ule uhamisho wa Babeli, Yekonia akamzaa Shealtieli; Shealtieli akamzaa Zerubabeli;
[13]Zerubabeli akamzaa Abihudi; Abihudi akamzaa Eliakimu; Eliakimu akamzaa Azori;
[14]Azori akamzaa Sadoki; Sadoki akamzaa Akimu; Akimu akamzaa Eliudi;
[15]Eliudi akamzaa Eleazari; Eleazari akamzaa Matani; Matani akamzaa Yakobo;
 
11. Thy pomp is brought down to the grave, and the noise of thy viols: the worm is spread under thee, and the worms cover thee. 12 How art thou fallen from heaven, O Lucifer, son of the morning! how art thou cut down to the ground, which didst weaken the nations. 13. For thou hast said in thine heart, I will ascend into heaven, I will exalt my throne above the stars of God: I will sit also upon the mount of the congregation, in the sides of the north:
14. I will ascend above the heights of the clouds; I will be like the most High. 15. Yet thou shalt be brought down to hell, to the sides of the pit.
Hujanijibu ina mzungumzia nani .
 
Anzisha mada katika hili nikupe ishu kamili, sio tu kuwa hawana sifa ya kuwa wakristo, bali kuna uhusiano na masonic katika kuanzishwa kwake.
Sasa mimi ntaanzishaje mada wakati wewe ndiyo mwenye kulijua hili suala! unaonaje wewe ukafungua Uzi na ukatoa elimu hiyo?
 
Haya ni Baadhi ya majina ya kikristo yaliyomo ndani ya Biblia

Mathayo 1:2-15
[2]Ibrahimu alimzaa Isaka; Isaka akamzaa Yakobo; Yakobo akamzaa Yuda na ndugu zake;
[3]Yuda akamzaa Peresi na Zera kwa Tamari; Peresi akamzaa Esromu; Esromu akamzaa Aramu;
[4]Aramu akamzaa Aminadabu; Aminadabu akamzaa Nashoni; Nashoni akamzaa Salmoni;
[5]Salmoni akamzaa Boazi kwa Rahabu; Boazi akamzaa Obedi kwa Ruthu; Obedi akamzaa Yese;
[6]Yese akamzaa mfalme Daudi.
Daudi akamzaa Sulemani kwa yule mke wa Uria;
[7]Sulemani akamzaa Rehoboamu; Rehoboamu akamzaa Abiya; Abiya akamzaa Asa;
[8]Asa akamzaa Yehoshafati; Yehoshafati akamzaa Yoramu; Yoramu akamzaa Uzia;
[9]Uzia akamzaa Yothamu; Yothamu akamzaa Ahazi; Ahazi akamzaa Hezekia;
[10]Hezekia akamzaa Manase; Manase akamzaa Amoni; Amoni akamzaa Yosia;
[11]Yosia akamzaa Yekonia na ndugu zake, wakati wa ule uhamisho wa Babeli.
[12]Na baada ya ule uhamisho wa Babeli, Yekonia akamzaa Shealtieli; Shealtieli akamzaa Zerubabeli;
[13]Zerubabeli akamzaa Abihudi; Abihudi akamzaa Eliakimu; Eliakimu akamzaa Azori;
[14]Azori akamzaa Sadoki; Sadoki akamzaa Akimu; Akimu akamzaa Eliudi;
[15]Eliudi akamzaa Eleazari; Eleazari akamzaa Matani; Matani akamzaa Yakobo;
Ukristo wa hayo majina ni upi maana baadhi hutumika na dini zengine?
 
Mtayatoaje wakati ndugu zenu mnaswali nao pamoja. Mkimaliza mnapeana mikono yawezekana hata hujui kwanini mwislamu hutoa mkono baada ya swala hata akiwa peke yake pale umeswali na majini
Kumbe ww huwa unayaona msikitini, basi itakuwa mganga wa kienyeji ww.
 
Kwa post hii umemaanisha wanaonizidi akili ni waislamu, hawa ndo walotuambia yote yawahusuyo majini. Kinyume na hapo, hakuna majini bali malaika waovu (waasi) na elimu ya Kikristu i prevail. Elimu yote kuhusiana na majini hivi tuijuavyo, wema na wabaya ni ya kiislamu. Uislamu ndo unaotangaza kuwa Suleiman aliyatawala hayo, Ukristu hata hauyajui majini.
Waislamu ndiyo walikukaririsha kuwa majini ndiyo pepo wachafu?

Na kama ukristo hauyajuwi hayo mnajuaje kama pepo wachafu ndiyo hayo majini?

Mnaweza vipi kuyatoa katika miili ya binadamu huku hamna ilmu ya hayo majini au huwa mnakisia?
 
Back
Top Bottom