Yesu alibebwa juu kwa juu na shetani.Na alimsahaulisha kula Siku 40,akamuweka na njaa jangwani.Soma biblia.
Yesu hakupandishwa na shetani wala hakusaulishwa kula na shetani! Wewe ndiyo soma biblia uelewa! Roho ni active force ya Mungu ambayo ilimpeleka Yesu kiroho. Husisome biblia macho juu kama Qur'an!
Matayo:4.1
Kisha Yesu alipandishwa na Roho nyikani, ili ajaribiwe na Ibilisi.
Matayo:4.2
Akafunga siku arobaini mchana na usiku, mwisho akaona njaa.
Matayo:4.3
Mjaribu akamjia akamwambia, Ukiwa ndiwe Mwana wa Mungu, amuru kwamba mawe haya yawe mikate.
Matayo:4.4
Naye akajibu akasema, Imeandikwa, Mtu hataishi kwa mkate tu, ila kwa kila neno litokalo katika kinywa cha Mungu.
Matayo:4.11
Kisha Ibilisi akamwacha; na tazama, wakaja malaika wakamtumikia.
Luka:4.1
Na Yesu, hali amejaa Roho Mtakatifu, alirudi kutoka Yordani, akaongozwa na Roho muda wa siku arobaini nyikani,
Luka:4.2
akijaribiwa na Ibilisi. Na siku hizo alikuwa hali kitu; hata zilipotimia, aliona njaa.
Yesu alibebwa juu kwa juu na shetani.Na alimsahaulisha kula Siku 40,akamuweka na njaa jangwani.Soma biblia.
Yesu hakupandishwa na shetani wala hakusaulishwa kula na shetani! Wewe ndiyo soma biblia uelewa! Husisome biblia macho juu kama Qur'an
Matayo:4.1
Kisha Yesu alipandishwa na Roho nyikani, ili ajaribiwe na Ibilisi.
Matayo:4.2
Akafunga siku arobaini mchana na usiku, mwisho akaona njaa.
Matayo:4.3
Mjaribu akamjia akamwambia, Ukiwa ndiwe Mwana wa Mungu, amuru kwamba mawe haya yawe mikate.
Matayo:4.4
Naye akajibu akasema, Imeandikwa, Mtu hataishi kwa mkate tu, ila kwa kila neno litokalo katika kinywa cha Mungu.
Matayo:4.5
Kisha Ibilisi akamchukua mpaka mji mtakatifu, akamweka juu ya kinara cha hekalu,
Matayo:4.6
akamwambia, Ukiwa ndiwe Mwana wa Mungu jitupe chini; kwa maana imeandikwa, Atakuagizia malaika zake; Na mikononi mwao watakuchukua; Usije ukajikwaa mguu wako katika jiwe.
Matayo:4.7
Yesu akamwambia, Tena imeandikwa, Usimjaribu Bwana Mungu wako.
Matayo:4.8
Kisha Ibilisi akamchukua mpaka mlima mrefu mno, akamwonyesha milki zote za ulimwengu, na fahari yake,
Matayo:4.9
akamwambia, Haya yote nitakupa, ukianguka kunisujudia.
Matayo:4.10
Ndipo Yesu alipomwambia, Nenda zako, Shetani; kwa maana imeandikwa, Msujudie Bwana Mungu wako, umwabudu yeye peke yake.
Matayo:4.11
Kisha Ibilisi akamwacha; na tazama, wakaja malaika wakamtumikia.