Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 29,020
- 40,793
Ndiyo akitaka kuwa sawa na Mwenyezi Mungu.Kuwa na Pride au Kibri ndiyo akataka tu kupambana na Mungu yani ndiyo hivyo tu?
Umesema yaani ndio hivyo tu?
Kwani ni jambo dogo kwako?
Ndiyo akitaka kuwa sawa na Mwenyezi Mungu.Kuwa na Pride au Kibri ndiyo akataka tu kupambana na Mungu yani ndiyo hivyo tu?
Kwanini uulize swala la Majini katika Biblia wakati Biblia haina habari za Majini isipokuwa Qur'an?Nimeuliza swali nawe unaniuliza swali ambalo hata haliusiani na biblia,maana mie nauliza maswali yenye kuhusu majini ndani ya biblia.
Kama huna uelewa na jambo sema tu sijui.
Muislamu hutakiwi kujadili biblia, ulikatazwa lakini mnalazimisha uwongo wenu watu wakubali!Huwa ndo maana sipendi kujadili mambo ya dini ,end of the day lazma muishie kwenye mazungumzo ambayo si mazuri kama haya .
My advice is ,faith is something personal ,very personal ,so you must be careful in characterizing others faith .
Shetani ni tabia sio kiumbe.Kiumbe ni jini,anapokuwa muovu,anaitwa shetani.Hata binadamu akiwa muouvu,hufnanishwa na tabia hizo za kishetani.Hivi kumbe shetani ni kila jini mbaya? Eti mimi huwa najua shetani ni shetani na jini ni jini. Kwa hiyo kumbe shetani hawezi kuwepo hadi jini abadilike toka kuwa mzuri na awe mbaya ndio kuwe na shetani?!
Unasema shetani ni tabia, wakati Qur'an yako inaonyesha ni kiumbe ambaye alikataa "kumsujudia Adam."Shetani ni tabia sio kiumbe.Kiumbe ni jini,anapokuwa muovu,anaitwa shetani.Hata binadamu akiwa muouvu,hufnanishwa na tabia hizo za kishetani.
Aliyekataa kumsujudia(kumtukuza)Adam ni Iblisi,Iblisi ndio alikiwa miongoni mwa malaika,alipoasi ndio akawa iblisi.Hivi ni viumbe wawili tofauti,kuna jini na Iblisi,ndio masna mtu akifanya jambo ovu,kama kubaka,hasemi jini kanipitia,asema shetani kanipitia au iblisi kanipitia.Unasema shetani ni tabia, wakati Qur'an yako inaonyesha ni kiumbe ambaye alikataa "kumsujudia Adam."
Basi sema tabia alikataa kumsujudia Adam!! Hivyo tabia anaweza kukataa au kujivuna na kuwa kafiri?
Nyinyi waislamu tabu sana. Sijui mna akili za namna gani?
Al baqarah 2:34. And We said to the angels, "Bow down to Adam." They bowed down, except for Satan. He refused, was arrogant, and was one of the disbelievers
2:34.Na tulipo waambia Malaika: Msujudieni Adam, wakamsujudia wote isipo kuwa Iblis, alikataa na akajivuna na akawa katika makafiri.
Sasa inakuaje huwa mnasema majini ndiyo malaika waliyoasi kwa mungu na jini na shetani ni kitu kimoja hali ya kuwa biblia haijaeleza hayo mambo?Kwanini uulize swala la Majini katika Biblia wakati Biblia haina habari za Majini isipokuwa Qur'an?
Wewe umeona habari ya majini katika biblia?
Mkuu bado napata ukakasi kwenye jibu lako hapa. Au nipe reference kama sio citation pengine ntaweza kupata kitu hapoShetani ni tabia sio kiumbe.Kiumbe ni jini,anapokuwa muovu,anaitwa shetani.Hata binadamu akiwa muouvu,hufnanishwa na tabia hizo za kishetani.
Wewe nimeshakuchoka. Khaa! Mbona mgumu kuelewa mpaka utukanwe!Aliyekataa kumsujudia(kumtukuza)Adam ni Iblisi,Iblisi ndio alikiwa miongoni mwa malaika,alipoasi ndio akawa iblisi.Hivi ni viumbe wawili tofauti,kuna jini na Iblisi,ndio masna mtu akifanya jambo ovu,kama kubaka,hasemi jini kanipitia,asema shetani kanipitia au iblisi kanipitia.
Kwenye Qur'an(sio tafsiri),aliyetajwa ni Iblisi,hakuandikwa shetani,ndio maana unaposoma tafsiri ya Qur'an,husomi Qur'an,unasoma tafsiri ya Qur'an.
Mzee kuna roho aina mbili.Sasa inakuaje huwa mnasema majini ndiyo malaika waliyoasi kwa mungu na jini na shetani ni kitu kimoja hali ya kuwa biblia haijaeleza hayo mambo?
Nyie huwa mnapata wapi hayo mambo?
Hata maswali huulizwa kwa misingi Fulani ambayo nayo inaweza kuwekewa maswali zaidi kama iko sahihi.Unamuuliza Mtoa mada aliyeuliza nayeye?
Kwa hiyo hakuna jinsi ya kuvitofautisha hivi vinavyoitwa viumbe na hadithi za kufikirika zisizo na uhakiki?Viumbe roho havina ithibati za kisayansi
Kwanini umemtolea mfano huyo Mwanafalsafa? Is he Perfect?Hata maswali huulizwa kwa misingi Fulani ambayo nayo inaweza kuwekewa maswali zaidi kama iko sahihi.
Ukimsoma Socrates utaona alitumia sana maswali kujibu maswali na kuchimba hoja zaidi katika "Socratic method".
Mi nafikiri ungewauliza wataalam au manabii bandia ambao ibada zao ni kutoa mapepo tu kila siku maana waumini wao kila siku wanaangushwa kwnye mahekalu. Na cjaona sehem nyingine wanapotoa majini km sio huko na kwa waganga wa kienyeji. Kumbuka asiyekuwa nayo hawezi kuyatoa.Naombeni kusadiwa kujua kuhusu majini. Nina imani watu wengi huwa tunatishwa sana..
Nina maswali naombeni kupewa msaada..
Nani aliwaumba majini?
Majini wameumbwaje na kwanini waliumbwa kwa kazi gani?
Kwanini hawaonekani nguvu gani au wao wapo ulimwengu gani hasa hadi tunashindwa kuwaona?
Je, vitabu vya dini vinasemaje kuhusu hawa viumbe ni sehemu gan majini watajwa na je mitume wa Mungu wamewahi kuwatumia hawa kwa kazi gani na kwanini?
Kwanini wanaonekana kuwa na nguvu zaid kuliko binadamu, mbinu ipi sahihi ya kuwadhibiti hao viumbe?
Je, maumbile yao halisi ni yapi na utawezaje kuwatambua?
Je, Mungu wanayemwamini ni huyu tunayemwamini sisi na huko watahesabiwa vipi haki siku ya mwisho na adhabu yao itakuwaje kwenye moto wa milele (nasikia wapo kama moto sina uhakika).
Je, wanaliana vip mimba zao hukaa muda gan na huishii miaka mingap tokea azaliwe yaani jin Mzee yupoje.
Mfumo wao wa utawala upoje na je kuna adhabu za kuwapatia endapo wanasumbua binadamu?
Je, wanaweza kuzaa na binadamu na mtoto akizaliwa huwaje?
Yaan dah yapo mengi maswali!
Majini yapo kanisani na kwa wanganga wakienyeji tu, huko ndio kila siku hutolewa lakini msikitini hakuna ibada ya kutoa majini.Hamna neno jini kwenye biblia! Ni Quran tu inashiriki na majini mpaka ndani ya misikiti!
Hawa watu lazima wawepo tu mkuu,, ila kila mtu atabanwa humu kulingana na akiaminicho. Kwanza ilikuwaje jini liishi Mbinguni likiwa na cheo kikubwa, lakini pia kwann lijenge bifu na wanadamu tu. Na je majini wasomcha Mungu nani anawapotosha?Huyo jamaa Uhuru jr sijui anauliza maswali kujifunza, kukupima kama unajua au kubishana? Kwa kweli simuelewi huyu jamaa!!
Hasa nachotaka kujua ni haya maneno shetani na jini yana maana gani? kwenye biblia huyo malaika aliyeasi aliitwa shetani baada ya kuasi(nisahishe kama nimekosea) je,neno shetani lina maana gani?Mzee kuna roho aina mbili.
Roho wema.
Roho waovu.
Roho wema- ni malaika watiifu kwa mwenyezi Mungu.
Roho waovu-ni malaika waasi walio kinyume na mwenyezi Mungu.
Kaka huko hatakuelewa kabisa, hajawahi kuyaumba majini kabisa bali ni malaika wema tu. Walipohasi yakawa mashetani, malaika aliyekuwa mkuu kabisa kule Lucifer ndo shetani mkuu.Seliselina naomba nikusahihishe kidogo ktk bible hakuna sehemu palipoandikwa kuwa Mungu aliumba shetani,big NO! Ila Mungu aliumba malaika,malaika walipoasi ndo wakaitwa mashetani.....
Mtayatoaje wakati ndugu zenu mnaswali nao pamoja. Mkimaliza mnapeana mikono yawezekana hata hujui kwanini mwislamu hutoa mkono baada ya swala hata akiwa peke yake pale umeswali na majiniMajini yapo kanisani na kwa wanganga wakienyeji tu, huko ndio kila siku hutolewa lakini msikitini hakuna ibada ya kutoa majini.