Kikwajuni One
JF-Expert Member
- Mar 18, 2013
- 14,703
- 7,907
Soma Luka 10:17 - 20Mapepo wanamtii kristo na wateule tangu walipochaguliwa na kutumwa wale wanafunzi sabiini(Luka 10:1,17-20)
Luka 10:17-20
"Ndipo wale sabiini waliporudi kwa furaha,wakisema Bwana hats pepo wanatutii kwa jina lako .18.Akawaambia ,Nilimuona shetani,akianguka kutoka mbinguni kama umeme.19.Tazama nimewapa amri ya kukanyaga nyoka na nge,na nguvu zote za yule adui wala hakuna kitu kitakachowadhuru.20Lakini, msifurahi kwa vile pepo wanavyowatii ;bali furahini kwa sababu majina yanu yameandika mbinguni.
Mathayo 8:28 -32
Naye alipofika ng'ambo katika nchi ya Wagaesi ,watu wawili wenye pepo walikutana naye ;wanatoka makaburini ,wakali mno ,hata watu wasiweze kupita njia ile.
1Yesu alitumia mapepo kuwakinga Israel na wanyama wabaya na kuwaondolea mapepo au roho chafu.
2.Hapo panaonekana kuna mapepo wema na mapepo wachafu.
Katika Marko 5:1-7 inasema wakafika ng'ambo ya bahari ya mpaka nchi ya Wageresi .2 Na alipokwisha kushuka chomboni ,Mara alikutana na mtu,ambaye ametoka makaburini,mwenye pepo mchafu;3 makao yake yalikuwa pale makaburini;wala hakuna mtu yoyote aliyeweza kumfunga tena ,hata kwa minyororo 4kwa sababu alikuwa amefungwa mara nyingi kwa pingu na minyororo .........12 pepo wote wakamsihi ,wakisema tupeleke katika nguruwe tupate kuwaingia wao13 akawapa ruhusa .
3.Kwa hiyo Yesu alishirikiana na mapepo na pia biblia ilitaja kuhusu mapepo.
Tatizo la wakristo hamsomi biblia,mnafunguliwa kanisani baadhi ya aya za biblia,na nyingine mnafichwa..
Mapepo wanamtii kristo na wateule tangu walipochaguliwa na kutumwa wale wanafunzi sabiini(Luka 10:1,17-20)
Luka 10:17-20
"Ndipo wale sabiini waliporudi kwa furaha,wakisema Bwana hats pepo wanatutii kwa jina lako .18.Akawaambia ,Nilimuona shetani,akianguka kutoka mbinguni kama umeme.19.Tazama nimewapa amri ya kukanyaga nyoka na nge,na nguvu zote za yule adui wala hakuna kitu kitakachowadhuru.20Lakini, msifurahi
Mapepo yanamtii Kristo na wateule tangu walipovhaguliwa na kutumwa wale wanafumzi sabiini
Luka 10:17-20 "Ndipo wale sabiini waliporudi kwa FURAHA,wakisema BWANA HATA PEPO WANATUTII KWA JINA LAKO".......
Propaganda hizo zinaenezwa na nani coz kuna waislamu wenye majini na ndo waliowengi kihome tunaita marohani? Mengine yote nimeshakujibu nadhani, si kwa wazungu tu hata waafrika wasonadini, waganga wa matunguli.... pia huutii uislamu. Fanya research ndogo tu, nenda kwa mganga wa matunguli siku ya ijumaa,atakuambia no, leo si siku yakufanya kazi.
uislam ni dini inatotokana na majini?