kichakaa man
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 5,487
- 5,111
Naombeni kusadiwa kujua kuhusu majini. Nina imani watu wengi huwa tunatishwa sana..
Nina maswali naombeni kupewa msaada..
Nani aliwaumba majini?
Majini wameumbwaje na kwanini waliumbwa kwa kazi gani?
Kwanini hawaonekani nguvu gani au wao wapo ulimwengu gani hasa hadi tunashindwa kuwaona?
Je, vitabu vya dini vinasemaje kuhusu hawa viumbe ni sehemu gan majini watajwa na je mitume wa Mungu wamewahi kuwatumia hawa kwa kazi gani na kwanini?
Kwanini wanaonekana kuwa na nguvu zaid kuliko binadamu, mbinu ipi sahihi ya kuwadhibiti hao viumbe?
Je, maumbile yao halisi ni yapi na utawezaje kuwatambua?
Je, Mungu wanayemwamini ni huyu tunayemwamini sisi na huko watahesabiwa vipi haki siku ya mwisho na adhabu yao itakuwaje kwenye moto wa milele (nasikia wapo kama moto sina uhakika).
Je, wanaliana vip mimba zao hukaa muda gan na huishii miaka mingap tokea azaliwe yaani jin Mzee yupoje.
Mfumo wao wa utawala upoje na je kuna adhabu za kuwapatia endapo wanasumbua binadamu?
Je, wanaweza kuzaa na binadamu na mtoto akizaliwa huwaje?
Yaan dah yapo mengi maswali!