financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 17,173
- 40,833
Unaona sifa kutokulala , inashauriwa kupumzisha fuvu masaa yasiopungua 8, mimi ikifika saa 4 usiku macho yanafunga kabisa😀na Nina mito 4 kabisa😃, ila usingizi sio favorite recipe yangu😁