Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,386
- 95,810
Hahahahaha Mkuu mimi nisome tu ila ili ule hela yangu kama ni mshikaji basi uwe na akili sana na uwe una mambo mengi kichwani na kama ni binti dah inabidi awe mpole mno ..maana kama sina bajeti yako ujue hupati kitu hata kama nina 1m mfukoniHapo safi, mi naamini uki weza kuji tathimini wewe Kama wewe, basi ita kupa muongozo nzuri wa kutathimini vitu vingine.
Japo sio wote wanao weza Hilo, Kuna Jamaa ni mzuri wa kutathimini vingine, ila sio yeye . Hahaha.
Na Kuna mwingine mzuri wa kutathimini vyote, au kuji tathimini yeye tu.