JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa usingizi.

Muda wa jukwaa ni kuanzia saa 6 usiku mpaka 11 asubuhi. Mimi hapa leo tangu nimeamka nimeamua KUFANYA IBADA Tuuuu!
Hamjalalaatu
 
Ty
 

Attachments

  • 1717797365289.jpg
    1717797365289.jpg
    308.4 KB · Views: 19
05:39

Remember ur dreams and pray over it
Meditate
Give gratitude to the almighty God , ideal health, relationship, and etc.

Finally make declaration over your life like I'm brilliant, I'm super hero , I'm well successful - this declaration will sink in ur subconscious mind and you will become ur words.

Try this magic with faith and don't put doubt because doubt is something that hindering the power of declaration .

God bless you
God bless the all JF members and guests.

God bless the world .

One day you will become a testimony person .


Jina lako MUNGU ukaliinue na kutawala kwa maisha ya wana JF na taifa kwa ujumla hekima yako ikatawale katika mioyo yetu.
 
Back
Top Bottom