Namjua aliyekufanyia haya manyanyaso namjua ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

Odo so vizuri ulivyomfanyie yule kaka pale kwa Mangi. ok tell me Ulimuachaje na zile ultimatum now or never๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Chaaaaaa, ๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚ hapana sio mimi
 
Disk Joker anawauliza mnauza nini , wanaitikia wanauza K,
Eti wanaume mnataka nini , wanaitikia wanataka K,
Wanawake mnataka nini, wanajibu wanataka pesa.
DJ wao ana promote sana umalaya.
Mishoga pia ipo pale
Nili kaaga dk 10 Nika ondoka, mahali hapo ukiwa na mtu wa heshima lazima mzinguane.
 
Naona umejua kuchagua PisiKali mwenye exposure na mambo ya Fedha pia

Hapo lazima tutegemee kumpata Waziri wa fedha kutoka kwenye uzao wenu maana Baba ni Intelligent businessman na Mama ni financial services

Na mambo yakiwa hivyo, sisi Wazee tunategemea lazima mtatuongezea pension yetu ya Kila Mwezi ๐Ÿ˜œ
Hapana mzee, familia yangu haito wahi kugusa siasa kabisa.

Labda science, biashara na umiliki wa kampuni basi
 
Naona umejua kuchagua PisiKali mwenye exposure na mambo ya Fedha pia

Hapo lazima tutegemee kumpata Waziri wa fedha kutoka kwenye uzao wenu maana Baba ni Intelligent businessman na Mama ni financial services

Na mambo yakiwa hivyo, sisi Wazee tunategemea lazima mtatuongezea pension yetu ya Kila Mwezi ๐Ÿ˜œ
We huelewi kumbe, tusije kuta hiyo financial services ni chuma ulete๐Ÿคฃ.

Una sawazishwa, mpaka una omba nafasi milembe hospital ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜‚
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom