JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Naona umejua kuchagua PisiKali mwenye exposure na mambo ya Fedha pia

Hapo lazima tutegemee kumpata Waziri wa fedha kutoka kwenye uzao wenu maana Baba ni Intelligent businessman na Mama ni financial services

Na mambo yakiwa hivyo, sisi Wazee tunategemea lazima mtatuongezea pension yetu ya Kila Mwezi 😜
We huelewi kumbe, tusije kuta hiyo financial services ni chuma ulete🤣.

Una sawazishwa, mpaka una omba nafasi milembe hospital 😀😂
 
Back
Top Bottom