Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,363
- 31,504
Karibu kijiweni, nikuletee chai au gah'wa?Dah! Niko macho yaan..
Karibu kijiweni, nikuletee chai au gah'wa?Dah! Niko macho yaan..
Ndoa zimeimarika....Unamaanisha nini?
Oooh basi vizuri!Nadhani ni majukumu
Unamaanisha kuwa wanajf wengi ni wanandoa?Ndoa zimeimarika....
Mambo ya kukaa lindo na kupigwa baridi usiku kucha,mbaki wenyewe tuOooh basi vizuri!
Mtu akishakuwa na miaka 18+ anakuwa na uhuru binafsi, atakuwa na sehemu ya kupunguza stress zakeUnamaanisha kuwa wanajf wengi ni wanandoa?
Haina namna acha tupambane na hali zetu!Mambo ya kukaa lindo na kupigwa baridi usiku kucha,mbaki wenyewe tu
Dah! Kweli nimeamini sina bahati na haya maisha....mbona mimi sina hizo sehemu za kupunguzia stress?Mtu akishakuwa na miaka 18+ anakuwa na uhuru binafsi, atakuwa na sehemu ya kupunguza stress zake
Hujaamua tu,ukiamua inawezekanaDah! Kweli nimeamini sina bahati na haya maisha....mbona mimi sina hizo sehemu za kupunguzia stress?
Nimeshaamua sana mpaka nimechoka sasa kuamua maana kila nikiamua bado naambulia patupu hivyo wacha nibaki kuwa mlinzi wa wenye 'majukumu yao'Hujaamua tu,ukiamua inawezekana
Hujawa jasiri tu, we ukiona kuna mtu mnaweza mkaendana naye muombe 'appointment', baada ya hapo mfungukie tuNimeshaamua sana mpaka nimechoka sasa kuamua maana kila nikiamua bado naambulia patupu hivyo wacha nibaki kuwa mlinzi wa wenye 'majukumu yao'
Hiyo kweli inahitaji ujasiri wa hali ya juu, akinikatalia je? Si nitakuwa nimejiongezea stress maradufu?Hujawa jasiri tu, we ukiona kuna mtu mnaweza mkaendana naye muombe 'appointment', baada ya hapo mfungukie tu
Kwa watu wazima wanaelewa, kama yupo single uta-win. Kwa sababu me/ke wanategemeana. Pia mkiwa wawili tu kwenye maongezi nafasi ya kushinda ni kubwaHiyo kweli inahitaji ujasiri wa hali ya juu, akinikatalia je? Si nitakuwa nimekiongezea stress maradufu?
Umekuja na silaa ganiNalinda leo
Mikono na macho makavuUmekuja na silaa gani
Utakuwa umepata kahawaMikono na macho makavu
Kweli wewe ni washawasha😂😂😂 washa moto baba kazi nzuri umeanzaNamla mtu denda sasa ni saa 02:10 usiku
Nalog off