Elli
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 55,503
- 86,053
Kawaida sana, Simba angeangalia hilo basi Leo hii duniani simba wangekua wameishaHahhhhhh demu mkorofi kinoma kisa alikua na hela ndo akataka aniendeshe....
Kawaida sana, Simba angeangalia hilo basi Leo hii duniani simba wangekua wameishaHahhhhhh demu mkorofi kinoma kisa alikua na hela ndo akataka aniendeshe....
Nimekusoma kamanda ila usingizi umekata ngoja niingie eksi video nicheki staili mpyaKawaida sana, Simba angeangalia hilo basi Leo hii duniani simba wangekua wameisha
All the bestNimekusoma kamanda ila usingizi umekata ngoja niingie eksi video nicheki staili mpya
Oyaaa mi. Nipo jamii forum nakula miogoNimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa usingizi.
Muda wa jukwaa ni kuanzia saa 6 usiku mpaka 11 asubuhi. Mimi hapa leo tangu nimeamka nimeamua KUFANYA IBADA Tuuuu!
Kabisa, walinzi wamelitelekeza lindo!Lindo halina watu siku hizi
majukumu yatakuwa yamewazidiKabisa, walinzi wamelitelekeza lindo!
Majukumu au usingizi?majukumu yatakuwa yamewazidi
Nadhani yale matangazo ya kuongeza nguvu...yamewasaidia wengiIna maana siku hizi watu hamna kabisa stress za kuwafanya mkose usingizi na mje hapa kupiga stori?
Nadhani ni majukumuMajukumu au usingizi?
Unamaanisha nini?Nadhani yale matangazo ya kuongeza nguvu...yamewasaidia wengi