Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 11,548
- 21,817
Mi ndo naanza hivi23:24
Lindo liko waz
Mi ndo naanza hivi23:24
Lindo liko waz
Sogea hapa 40/40Hamna haja radar yangu inaangaza matukio ya pande zote
Tupo tunacheki gemu mallorca Vs Barcelona, till now Barcelona 1 Mallorca 0.Hey Guys, mupo? Leo nasalimia kisha nalala! Kama kuna madai njoo PM
Dakika ya 30.32secTupo tunacheki gemu mallorca Vs Barcelona, till now Barcelona 1 Mallorca 0.
TushakaribiaKaribuni lindoni walinzi
Melo alipita huku
Dakika ya 30.32sec
Niongoze vema Maria mwema,
Bondeni huku niliko,
Nifike kwa usalama,
Mbinguni kwa Yesu mwanao
Hizo nyimbo huwa naziimba nikiwa nimeishiwa....🎶Niongoze vema Maria mwema,
Bondeni huku niliko,
Nifike kwa usalama,
Mbinguni kwa Yesu mwanao🎶
Lala ukueNani alitoa sadaka,Hiyo sadaka ikamfilisi.
Hakuna,Hakuna wala haiwezekani.
Utoapo bwana atajaza tena..atajaza tena.
Kesho toeni sadaka acheni Kuiba haki ya BWANA. Kulingana na vipato vyenu
😀 😀 😀 😀 😀Hizo nyimbo huwa naziimba nikiwa nimeishiwa....
Ili nigundue nini kamanda.?Lala ukue
Nani alitoa sadaka,Hiyo sadaka ikamfilisi.
Hakuna,Hakuna wala haiwezekani.
Utoapo bwana atajaza tena..atajaza tena.
Kesho toeni sadaka acheni Kuiba haki ya BWANA. Kulingana na vipato vyenu
Hao wachawi wasiolala umeona wamekuwa matajiri..??Ili nigundue nini kamanda.?
Usingizi ni kapu la umaskini