Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,845
- 52,251
hahahhaaaaa aisee nimecheka...Hizo nyimbo huwa naziimba nikiwa nimeishiwa....
hahahhaaaaa aisee nimecheka...Hizo nyimbo huwa naziimba nikiwa nimeishiwa....
Mrembo..😉hahahhaaaaa aisee nimecheka...
Adhabu yako nipatie kimwana..😅😜Logic yangu ilisimamia kwenye kulala bila mpangilio😀
Usingiz ni muhimu ila tu pale ukiweza kuukontro. Ukikukontro umekwishs.
Ziwa La moto La mwanamke yuko kwenye heat au?Ole wao wageuzao giza kuwa nuru, hakika hawatauona ufalme wa Mungu, wataishia ziwa la moto
Kwelihahahhaaaaa aisee nimecheka...
Yaap, heat period for fertilizationZiwa La moto La mwanamke yuko kwenye heat au?
We weka hapa jina lake nimtafuteNamtoa wapi sasa. Huu si mtihani wa Havard
Nimesubscribe tayar.Ikifika 04:00 nitaitisha ‘press’ na walinzi wote, zawadi nono!