JamiiForums Usiku wa manane
Nani alitoa sadaka,Hiyo sadaka ikamfilisi.
Hakuna,Hakuna wala haiwezekani.
Utoapo bwana atajaza tena..atajaza tena.

Kesho toeni sadaka acheni Kuiba haki ya BWANA. Kulingana na vipato vyenu
Lala ukue
 
Ili nigundue nini kamanda.?
Usingizi ni kapu la umaskini
Hao wachawi wasiolala umeona wamekuwa matajiri..??
Usidanganyike ndugu heshimu usingizi alieuweka kakushinda akili sasa shindana nae tuje tukuokote ukizinduka ujikute na madripu mpk kwenye meno..😅
 
Back
Top Bottom