toponyondo
Senior Member
- Dec 27, 2018
- 169
- 94
4, 28
Nipo hapa Mjeda mwaminifu achia lindoMko wapi walinzi niwaaachie chupa moja ya JD ? Mkazime kwenye jumuia
Sent using Jamii Forums mobile app
Safi sogea hapa mwenge mataa uchukue chupa yakoNipo hapa Mjeda mwaminifu achia lindo
Hamna haja radar yangu inaangaza matukio ya pande zote
Njooni msaini posho zenu....
Lindo limefungwa 0653
Hamna posho walinzi watoro wanakujakuzuga asubuhiNjooni msaini posho zenu
Hahahaha, wanasimisha mdoli getini wao waenda kulalaHamna posho walinzi watoro wanakujakuzuga asubuhi
Baridi limewazidHahahaha, wanasimisha mdoli getini wao waenda kulala
Iliwafaa mafunzo ya ukakamavu wayapatie MafingaBaridi limewazid
Nyimbo zao za zamani zinawabeba lakini kwa sasa hawana nyimbo zinazohitNazani ile kwayaya kijitonyama ndio kwaya bora kwa muda wote.
Mi ndo naanza hivi23:24
Lindo liko waz