Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,390
- 21,041
ooh kausha mzee wanguLofa wewe kwenda zako
ooh kausha mzee wanguLofa wewe kwenda zako
aah snap bhana mm na video ni tofauti sana ile app naona nzuri ni kwa watu mastaa tu.
😀😀😀Bro usinilazimishe nikaandika kitu ambacho baadae nitajutia kwa nini nilikiandika.
Eeh! Ndio hizo Serengeti lite za weekend ama?!!Lofa wewe kwenda zako
kijiwe nongwa
🖐
😂😂😂😂kijiwe nongwa
vp na leo tena kuna vyombo vyakuosha nn 😆 😆 😆 jana nguo leo?😂😂😂😂
kuna kahawa na maziwa pia ambazo mixer na chocolate flavor.
kuna kahawa na maziwa pia ambazo mixer na chocolate flavor.
Maji ya AUWASA ya mgao....nimeamka kuchotavp na leo tena kuna vyombo vyakuosha nn 😆 😆 😆 jana nguo leo?
Tangawizi inawekwa nyingi sana mpaka kamasi linatoka lenyewe. 😆 😆 😆
Njoo hapa bocconi University Lombardy Milan tule raha mamaMaji ya AUWASA ya mgao....nimeamka kuchota
aisee hapo kwako ni changamoto kumbe maji ya kukeshea pole sana.Maji ya AUWASA ya mgao....nimeamka kuchota
Tumeshazoea wenyeweaisee hapo kwako ni changamoto kumbe maji ya kukeshea pole sana.
Ukiona mafua yanazidi unakata na baba lao (K vant) au mkubwa wao ( nyagi)Tangawizi inawekwa nyingi sana mpaka kamasi linatoka lenyewe.
aah kwahiyo hapo unakinga maji huku unapata huduma ya ubaridi!Tumeshazoea wenyewe