Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,197
- 45,945
Woyo
Jadithi ndio kitu ganiHadithi jadithi
Wajinga walivovamia sherehe nikikumbukaNow Watching
3 Idiots
Yaani niko nacheka hapa ka chizi.. afu wanajitetea kua hawataoa kabisa.. pale kwenye kuvuruga karatasi nimechekaaa..Wajinga walivovamia sherehe nikikumvuka
Ni unaingalia kwa mara nyingine au ndo first timeYaani niko nacheka hapa ka chizi.. afu wanajitetea kua hawataoa kabisa.. pale kwenye kuvuruga karatasi nimechekaaa..
Ila nimejifunza mengi sana. Bado naendelea kuitazama...hapa
Nimeipenda kama The good the bad and the ugly
The first time mkuuNi unaingalia kwa mara nyingine au ndo first time
Duh.. Naona kama umechelewa!The first time mkuu