Jadithi ndio kitu ganiHadithi jadithi
Yaani niko nacheka hapa ka chizi.. afu wanajitetea kua hawataoa kabisa.. pale kwenye kuvuruga karatasi nimechekaaa..Wajinga walivovamia sherehe nikikumvuka![]()
Ni unaingalia kwa mara nyingine au ndo first timeYaani niko nacheka hapa ka chizi.. afu wanajitetea kua hawataoa kabisa.. pale kwenye kuvuruga karatasi nimechekaaa..
Ila nimejifunza mengi sana. Bado naendelea kuitazama...hapa
Nimeipenda kama The good the bad and the ugly
The first time mkuuNi unaingalia kwa mara nyingine au ndo first time
Duh.. Naona kama umechelewa!The first time mkuu
