HB wa kigogo
JF-Expert Member
- Aug 24, 2017
- 2,489
- 6,251
Poa poaAmeomba radhi jamn msamehe
Poa poaAmeomba radhi jamn msamehe
Tulia hvyo hvyo alete kwanzaNigawie na mimi nishushie hasira
Sawa usininyime patachimbika hapaTulia hvyo hvyo alete kwanza
Nasubiria fine...ngoja nkufuate huko huko kwa mangiKwa mangi Leo kuna ofa ,mkuje
Ulikuwa unaenda wapi usiku huu!?ss wapenda mpira tumeomba kufunguliwa geti baada ya mechi kuishaNilikuwa nakatiza nje nikachungulia nikakuta geti lipp wazi ndio nikasema ngoja niingie nione akina nani wapo humu ndani
Zipo,banana,kitoko,shujaa,don't nyathi,boss yaani wewe tuWanzuki na dengelua ipo mkuu
Nilikuwa naenda kijiweni kijiji jiraniUlikuwa unaenda wapi usiku huu!?ss wapenda mpira tumeomba kufunguliwa geti baada ya mechi kuisha
Sasa umeghairi!?Nilikuwa naenda kijiweni kijiji jirani
Nilimwambia abadili maana niliona mnamsumbua sanaMkuu ile avatar yako mbona umebadili tena
Banana mbili mbili kwa walinz woteZipo,banana,kitoko,shujaa,don't nyathi,boss yaani wewe tu
Kuna mali mpya we huoniSiku hizi geti linafunguliwa mapema ivooo![]()
![]()
![]()
Mwambie afanye ile roho inatakaAmejikata mitama huyo. Amezingua
Umesomeka,mangi swai anafanya mamboBanana mbili mbili kwa walinz wote
Ipi mkuu, nionesheKuna mali mpya we huoni
Chukua kwa leo usimfanye kitu kibaya tafadhaliNi kabidhiwe mie kwa muda hata leta ukorofi naahid
Aje Lindo kuna mahojiano yana msubiriInna rafiki yako thad yupo?
Nitawahi kulala akiendelea kuwa humuAfadhali ata leo mumu yupo utatulia
Niko njia panda hapa, nikifika round about nitapata uamuzi sahihiSasa umeghairi!?