Inna
JF-Expert Member
- Jan 13, 2017
- 11,194
- 27,089
Hapn yule hajagi huku.Haa kumbe mchaw Mkuu ndo yule mshana !! Heeee
Hapn yule hajagi huku.Haa kumbe mchaw Mkuu ndo yule mshana !! Heeee
Anhaa kumbe kwa hiyo huku ni tuchaw tudogotudogoHapn yule hajagi huku.
Tunashukuru kwa kutukumbuka..karibu tenaaNimekaribia mama nimepita kuwasalimia
Huku hamna wachawi ni mapopo tu yaliokosa usingiz..au ukiwa na stress ukakosa usingizi tunakufariji hukuAnhaa kumbe kwa hiyo huku ni tuchaw tudogotudogo
Usije huku mamaa nmeambwa kuna wachawNimekaribia mama nimepita kuwasalimia
Daaah na stress saana nifarijin basiiHuku hamna wachawi ni mapopo tu yaliokosa usingiz..au ukiwa na stress ukakosa usingizi tunakufariji huku
Subiri team popo waje zitaisha zote hzo..ila itabd useme kwanza ni za nnDaaah na stress saana nifarijin basii
Sijala ubwabwa toka chirisimasi !!Subiri team popo waje zitaisha zote hzo..ila itabd useme kwanza ni za nn
Mbona ro call imefanyika mapema kulikonLeo tunaanzia wapi wadau
Sio kuna watu wamevuruga utaratibu leoNdio utaratibu wa mwaka 2018? Mbona mmewahi na hii
Waje na balimi tatu tatu kwa kila mlinzNtawapa fine mida bado ya kuja apa
Ohoo we kafie huko mbeleeSijala ubwabwa toka chirisimasi !!
Ok kama vip tuliendeleze. Mambo vipi?Sio kuna watu wamevuruga utaratibu leo
Hahahha na stress MkuuOhoo we kafie huko mbelee
Umeona eeWaje na balimi tatu tatu kwa kila mlinz
Safi za kupotea!Ok kama vip tuliendeleze. Mambo vipi?
Mkuu cjui malindo y atakuwa salama kwa mfumo huuNdio utaratibu wa mwaka 2018? Mbona mmewahi namna hii
Safi za kupotea!Ok kama vip tuliendeleze. Mambo vipi?