Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 43,246
- 90,426
Tena ya ubungo ya sasa mixer barabara ya mwendo kasiMataa au
Tena ya ubungo ya sasa mixer barabara ya mwendo kasiMataa au
Sawa nakusubiri bestNimechelewa bhan kupata notification
Tena ya ubungo ya sasa mixer barabara ya mwendo kasi



Hahahaha,usideke bana![]()
Napita Kwa kudekaaa
Tuko lindoLeo msilale
Nifanyeje jaman wakat napenda kudekezwa miyeHahahaha,usideke bana
Ole wenu mlale vinywaj gan mnatumiaTuko lindo
Jamani usifanye hivyo,wengine tunapenda wadekaoNifanyeje jaman wakat napenda kudekezwa miye
Hahahaha,urithi wetu SAFARI LAGEROle wenu mlale vinywaj gan mnatumia
Nikitegemea utataja ndovuuuuuuHahahaha,urithi wetu SAFARI LAGER
Ndovu zipo pia,karibuNikitegemea utataja ndovuuuuuu
Sa ngapi etii shostiiNtawapa fine mida bado ya kuja apa
00:01amSa ngapi etii shostii
Ndo mnaanza kuroga humu jf au Mi mgen sijui !!00:01am
Yah ndo mida yetu ya kuwangaNdo mnaanza kuroga humu jf au Mi mgen sijui !!
Haa kumbe mchaw Mkuu ndo yule mshana !! HeeeeYah ndo mida yetu ya kuwanga
Karibu mwana mpotevuHabariiii
Nimekaribia mama nimepita kuwasalimiaKaribu mwana mpotevu