spade4spade
JF-Expert Member
- Jun 5, 2014
- 2,207
- 2,158
Nipo mpenzi,mvua zinanificha ndani tuuuu najikunyata sababu ya baridiNa mpenzi wangu![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
hata sijui amepotelea wapi.
Wanaendeleeza siku kuu ya kupinduanaSorry kama nitakosea jina maana hamtaki kuja
Piga kwanza 3 kisha u lete mrejeshoNaombeni ushauri...sijawahi kunywa bia hata siku moja..nataka nijaribu kunywa Heineken usiku huu. je inamadhara.
Hahahaha tatu watambeba huyoPiga kwanza 3 kisha u lete mrejesho
Amalizie na balimi kwan hzo heineken ni very liteHahahaha tatu watambeba huyo
nipo na moja...imefika nusu...ladha yake sio rafiki kabisa na mdomo mkuu.Piga kwanza 3 kisha u lete mrejesho
Kausha unarudisha chenchi mkuu moja hata kama ni nusu poanipo na moja...imefika nusu...ladha yake sio rafiki kabisa na mdomo mkuu.
Ukuje kule mpenzi wako yuko upate joto.Nipo mpenzi,mvua zinanificha ndani tuuuu najikunyata sababu ya baridi
Upo kama kakakuona jamaniNipo mpenzi,mvua zinanificha ndani tuuuu najikunyata sababu ya baridi
HahahahaAmalizie na balimi kwan hzo heineken ni very lite