JamiiForums Usiku wa manane
Ooops
habari za wanajamvi wa uzi huu upendwao na watu wengi. Uzi wenye habari za kikubwa na si uzi uliotekwa na wanafunzi. Nimewamisi sana tena sana. Nakumbuka sana mifupa yangu ilivyokuwa ikishamiri kwa story na vicheko vya baadhi ya stories za humu.
Najua na nilikuwa napata taarifa zenu kutoka kwa KK kila siku na leo nimemweleza kuwa naja humu na imetubidi tupumzishe assignment niliyokuwa nafanya kwa muda.
Herry ya mwaka mpya wote wote sitaki kuanza kutaja majina maana naweza msahau mtu mmoja ikalet shida. Ila Thad Mungu anakuona ulivyokuwa ukinizunguka.
mimi bado nakupenda
 
Heeeee maza wa kitaaa, Jei Jizii, oohh sorry Jei jezi, mmmh. Yaani kutamka jina lako mi mpaka nimuulize jomoni! Basi nifundishe!
 
Um
Heeeee maza wa kitaaa, Jei Jizii, oohh sorry Jei jezi, mmmh. Yaani kutamka jina lako mi mpaka nimuulize jomoni! Basi nifundishe![/QUOTEhahahhahahahahaha
umuulize nani jaman? Unaliwezea bhana fanya fanya mazoezi
ulivyoniita maza wa kitaa nikagundua wewe ndie yule jiran yangu unanifungiaga tinted wakati huu wa mvua hutaki kutoa lift. Kesho usifanye hivyo bhana maana sharing is caring

teh meaning sharing a car and not otherwise
 
Hiii ime
Mbona unalimwaga hapa jamani! Si ungeninong'oneza kuleeee. Duh, saa mbona unaniharibia Ubunge wangu jamani. Nataka kugombea, kama nimekukosea unanifuata taratibu.
Jiandika aisee sio kwa umbea huu. Acha nitafute ile nimeandika nione nani ka edit
Unajua ukiwa unagombea ubunge bila kuwa na skendo skendo wananchi hawawezi kukuelewa na kukuamin. So nishukuru tu nitakuwa sababu ya wewe kushinda
 
Ooops
habari za wanajamvi wa uzi huu upendwao na watu wengi. Uzi wenye habari za kikubwa na si uzi uliotekwa na wanafunzi. Nimewamisi sana tena sana. Nakumbuka sana mifupa yangu ilivyokuwa ikishamiri kwa story na vicheko vya baadhi ya stories za humu.
Najua na nilikuwa napata taarifa zenu kutoka kwa KK kila siku na leo nimemweleza kuwa naja humu na imetubidi tupumzishe assignment niliyokuwa nafanya kwa muda.
Herry ya mwaka mpya wote wote sitaki kuanza kutaja majina maana naweza msahau mtu mmoja ikalet shida. Ila Thad Mungu anakuona ulivyokuwa ukinizunguka.
mimi bado nakupenda
Nakupenda Sana mpenzi karibu tena kipenzi
 
Back
Top Bottom