JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Yakaribia saa 11.alfajir nipo macho nasikiliza redio mbalimbali za Tanzania na kuna wakati nasikiliza redio za nje.Nishapanga ratiba vizuri ya ka mradi kangu ka baba ntilie,ambako kuna watumishi 2.Mmoja anapika vyakula tu kama ugali,wali,nyama na mboga za majani.Mwingine anahudumia wateja na usafi wa meza na vyombo.Mimi mwenyewe hupika vitafunio kama chapati,sambusa,maandazi.
 
00:05

"And I won't hate no man for being on his grind
That's just not the vibe
That's just not what I do with my time,

Let that nigga try
Let that nigga win
Let him fly
If you wonder why, his success is not a threat to mine"
 
Back
Top Bottom