Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,407
- 102,440
02:37
Utapataje usingizi mzee na wakati genge la mafwele mida kma hii ndio linafanya kazi kwa uhuru na tayari uko kwenye listLeo raia na walala nje tujuane maana sielewi ila ukweli kujiajiri raha bwana .
Duh !Utapataje usingizi mzee na wakati genge la mafwele mida kma hii ndio linafanya kazi kwa uhuru na tayari uko kwenye list
Unamaanisha nipo kwenye list ?Utapataje usingizi mzee na wakati genge la mafwele mida kma hii ndio linafanya kazi kwa uhuru na tayari uko kwenye list
Anhaa kaka sio kweli kwanini sasa mnakosa usingizi mpaka usiku huu ambao tunaogopa kujiajiri tuko kukimbizana na mbu ?Sisi ma jobless tuna bahati sana
Ndio maana nasema ma jobless pro max tuna bahati ya kuwa na free time kila siku.Anhaa kaka sio kweli kwanini sasa mnakosa usingizi mpaka usiku huu ambao tunaogopa kujiajiri tuko kukimbizana na mbu ?
Hiyo kweli aiseeNdio maana nasema ma jobless pro max tuna bahati ya kuwa na free time kila siku.
Kwani hujajua mpaka leo hii kilichopelekea JF ikafungiwa ni nini?Unamaanisha nipo kwenye list ?
Sijioni nikikosa ikiwa watahitaji kufanya hivyo ,wameshamchukua baba mdogo wangu na mpaka sasa sijui yu hai au amekufa .Kwani hujajua mpaka leo hii kilichopelekea JF ikafungiwa ni nini?
Kama hujajuaga kwa kukusaidia tu, kuna id kma 200 humu ambazo zinatafutwa kwa hudi na uvumba, na brother Mello alikataa kutoa IP addresses
Sasa wewe kwa uchangiaji wako humu unajiona ukikosa kwenye hizo id 200?
Niliamka kunywa maji 😅 nikasikiliza hii nyimbo nikalala tena 😴Mdogo wangu Intelligent businessman hivi unaweza kuwaza niko hapa na kuna mdada namuelewa naye yuko hapa sasa nawaza kanifuata mimi hapa au ndiyo vile amemaliza kugawa dozi kwa mwingine ,kiukweli kaniongezea mawazo sana
Wewe Binti wa zamani embu pumzika bwana muda wa kazi za kiume huu
Alikuchosha nani mpaka unywe maji aisee ?
Alikuchosha nani mpaka unywe maji aisee ?
Unazidi kunichanganya
Pole sana ndugu kwa hilo lililomkuta baba yako mdogo, Mungu aendelee kumlinda huko alipo kama bado yupo hai.Sijioni nikikosa ikiwa watahitaji kufanya hivyo ,wameshamchukua baba mdogo wangu na mpaka sasa sijui yu hai au amekufa .
Mimi nipo kwenye serikali yao nikitumika sasa ni mwaka wa kumi na tisa .
Niliyokutana nayo ni mengi kiasi cha kutoogopa chochote ila zaidi ni kuwa sidhani kama kwasasa nipo kwenye list hiyo sababu nishajieka wazi kiasi kuwa hakuna mwanausalama ambaye atapata shida kunijua mimi ni nani kwa muda niliowahi share baadhi ya maisha yangu niliyopitia kuhusu manyanyaso yao .
Relax Nigga ,narudi kulala nyumbani sasa asubuhi ,tukutane saa nne kilabu cha mwampilingi tunywe ulanzi na kashata ,maisha ni haya haya rafiki