Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,408
- 102,438
01:33
Ni kweli kabisa ,wahanga ni watumishi wanaoenda tofauti ila kelele hazikiki kwasbabu nani atatusemea kila mtu analinda ugali wake .Pole sana ndugu kwa hilo lililomkuta baba yako mdogo, Mungu aendelee kumlinda huko alipo kama bado yupo hai.
Kiukweli hii serikali dhalimu imeumiza familia za watu wengi sana na bado inaendelea kuumiza familia zetu.
Ukifuatilia wahanga wengi wa utekaji wala hata hawakuwahi kufanya jambo lolote la kuliumiza taifa, zaidi ya kutoa kauli tu ambazo hazikuwapendeza hawa wadhalimu.
Yaani kutoa maoni kinzani au kutokukubaliana na serikali hii basi adhabu yako ni kutekwa,kuteswa na kupotezwa kabisa bila familia yao kukuona...!?
Kwa mateso ambayo tunapewa na hawa wadhalimu mpaka kuna muda huwa nahisi Headquater ya shetani iko hapa Tanzania.
Halafu wahanga wengi wa utekaji ukitoa makada wa CDM ni nyie watumishi wa umma.... nakumbuka hata kwenye Audio ya Mafwele iliyovuja karibu mateka wake wote aliojigamba amewashikiria ni watumishi wa uma.
Na wa kumtukana ukakosa 😂Nani yupo macho japo nimtukane tu nafsi yangu itulie nilale.
Mchizi wako kazingua nini01:29 nisikilizeni mwanaume wa ukweli hakai ukweni