Sjakuelew unachozungumzaUtaratibu unabadilishwa tu expert wangu,usikariri mambo.
Cha msingi ni usiku, kama wote tunafuata utaratubu basi inatakiwa tuanze lindo saa nane usiku,hapo vipi?
Usishangae siku nikaanza matarisho saa tatu usiku, take it easy expert wangu maisha sio magumu kiasi hicho mpaka tucomplicate mambo
Asante
Umekaa na madirisha yote hapo??😂😂Kuna Vijana wako busy kurusha mawe juu ya Bati hapa nyumbani ili kumtorosha Mjukuu wangu!
Namimi nitaangalia TV hapa sebuleni hadi alfajiri nione atatokaje ndani😜
Halali mtu hapa 🤗
12:10 a.m
Mpee somo mjukuuKuna Vijana wako busy kurusha mawe juu ya Bati hapa nyumbani ili kumtorosha Mjukuu wangu!
Namimi nitaangalia TV hapa sebuleni hadi alfajiri nione atatokaje ndani😜
Halali mtu hapa 🤗
12:10 a.m
Funguo za milango na geti kubwa ninazo hapaUmekaa na madirisha yote hapo??😂😂
Yupo kwenye adolescence age, kwahiyo anaonekana nayeye anapenda kutoroshwa huyu 🙌Mpee somo mjukuu
UZuri umeshatambua akupi tabu....Yupo kwenye adolescence age, kwahiyo anaonekana nayeye anapenda kutoroshwa huyu 🙌
Lindo lipo Salam upande wako00:18 here we go again
Mkuu naona ushaingia Lindo ...Mpee somo mjukuu
Hakika MkuuUZuri umeshatambua akupi tabu....
Mwisho wake ingependezaa apate elimuHakika Mkuu
Leo nitalala hapa hapa sebuleni hadi nione mwisho wake 😜
12:59 a.m