Unabishan n utaratibu itabidi tukupumzishee LINDO kwanzaasaa 5 ni muda wa kuchagua sirah na kuanza kusogea
SanaaaaaaaaInasikitisha sana
Your welcome againLeft 4 a while 😴😴😴
@3am i got task to do.
sema walah mkuu 😁Unabishan n utaratibu itabidi tukupumzishee LINDO kwanzaa
ibumexNimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa usingizi.
Muda wa jukwaa ni kuanzia saa 6 usiku mpaka 11 asubuhi. Mimi hapa leo tangu nimeamka nimeamua KUFANYA IBADA Tuuuu!
sheria zimewekwa ili zivunjwe bwana,, humu kuna watu wanapita mpka saa 6 mchana😆,, enwei nitajitahidi kuja saa 6 usiku
Nimekukumbusha tu mkuuu siyo kw ubayaa af ao wano pita uo mda wanaonekana awaelewiisheria zimewekwa ili zivunjwe bwana,, humu kuna watu wanapita mpka saa 6 mchana😆,, enwei nitajitahidi kuja saa 6 usiku
Tuko pamoja mkuusawa sawa mbotoro nimekupata
pamoja sana mkuuNimekukumbusha tu mkuuu siyo kw ubayaa af ao wano pita uo mda wanaonekana awaelewii
Hali ya lindo ipo vip uko ulikoopamoja sana mkuu
huku poa tu nipo baridi kali vip hukoHali ya lindo ipo vip uko ulikoo
Uku barid y kawaida tu uko maeneoo gnihuku poa tu nipo baridi kali vip huko
nipo tukuyu, karibu sana kiongoziUku barid y kawaida tu uko maeneoo gni