JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Tunakesha...
Na analyze market hapa, naandaa mikeka ya kupost kesho X (Twitter), naandaa posts za kwenye social media nazo manage.
Nina kazi nyingi ila cha kusikitisha ni kwamba nimeachwa na kale katoto kavaa manicab.
Kwahiyo leo kwenye huu uzi nipo mpaka kesho Alasiri. Ntatoka tu muda wa swala basi.
Wifi imelipiwa, laptop nimeipiga window leo leo, simu iko full charge. Kama unastory yoyote leta tuondoke, huku nafanya kazi huku najibu, hakuna kufokasi hapa!
 
Back
Top Bottom