Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 9,869
- 32,710
Huyo ex wa kunifanya ninywe nilewe mbona simuoni 🎵🎵🎵🤣🤣🤣🤣
Mshamba wa K mmakonde... napenda hapo tu...
Mshamba wa K mmakonde... napenda hapo tu...
Nini mkuu ulikuwa unaota unakunya?Oh dunia,dunia hii acha tu
Tena tutakesha kwa furaha kubwa sanaTuombe uzima kama kawa Berkane ikichukua kombe tunakuja kukesha humu...
Stress for who? 😊
03:45
😂😂😂😂Ngiyabonga my fwendUnapajua kumbe.
So wena uyakhuluma or uyatalk?
Bantu Tulia basiHuyo ex wa kunifanya ninywe nilewe mbona simuoni 🎵🎵🎵🤣🤣🤣🤣
Mshamba wa K mmakonde... napenda hapo tu...
nimeshtuka ulivyojambaNini mkuu ulikuwa unaota unakunya?
Haw iniii manje wena ntwana😂😂😂😂Ngiyabonga my fwend
Okay okay binti kiziwinimeshtuka ulivyojamba
03: 50 Ina kuwaje my former boss😂😂Intelligent businessman mbona umekimbia mapema? Weekend leo unalala, aah amka bwana.
Si bora ulale na kisu kudadadeki, 😂Try sleeping with a Broken heart 🎵🎵
03:50
Mbona ghafla sana, former boss tena. Umejipata eeh? 😂😂😂😂😂03: 50 Ina kuwaje my former boss😂😂
Boss wa majobless umeingia Sasa uwanja wako Tajiri.03: 50 Ina kuwaje my former boss😂😂
Haya wera au my mchuchu 😂😁Hii ndo ipo😂😂😂 sikuhizi tuna mastory ya bey na nukuu kadhaa za kujifunza, na wengine wengine pia.. Ila Intelligent businessman kazi ulimpa anajitahidi kuifanya😂😂😂
How can you sleep with a broken heart seriously 😎Try sleeping with a Broken heart 🎵🎵
03:50
Una kipi cha kutuambia mkuu🤗Nayatafari maisha yangu miaka 40 iliyopita