Dahan
JF-Expert Member
- Oct 26, 2022
- 2,798
- 6,373
Sawa Dalali wa mjini 🤗🤗🤗 ongea na boss vizuri hapo
Basi upo vizuriSana 😁😁😁😁😁
Wewe ni boss pia acha uwogaSawa Dalali wa mjini 🤗🤗🤗 ongea na boss vizuri hapo
Tafuta wimbo wa Fid Q unaitwa mama cheusiShort N sweet 🎵🎵🎵
03:08
Hii playlist yako ya leo ni hatar 😂😂😂Short N sweet 🎵🎵🎵
03:08
Ahhhhahhh hujui kitu bado😂Wewe ni boss pia acha uwoga
Wewe ya kwako weka basi kigoli au anatumia simu kama yanguHii playlist yako ya leo ni hatar 😂😂😂
Yangu inaenda tumbon😂😂Wewe ya kwako weka basi kigoli au anatumia simu kama yangu
Bora nisijue mana nilijua mtapata tabu saaana.Ahhhhahhh hujui kitu bado😂
Watu wa mbagala utawajua tuMwenzenu nimepigaa uharoo wa hataree jmn
Akuuh mie simo.... 🤗🤗🤗Bora nisijue mana nilijua mtapata tabu saaana.
Nauza Dunia kwajili ya Bantu Lady Na Mimi ndio dalali
Acha unafki kakaWatu wa mbagala utawajua tu
Cheki Sasa na mashavu Yake Sasa unamdekea nani?Akuuh mie simo.... 🤗🤗🤗