Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 44,414
- 96,739
00:06 here we go again
Oky, siku nyingine tena jumatano tulivu00:05 here we go again
Ww n pisi kali kinoma, inaonyesha Ww n mtaam 🥰
Kuna Dark mode mkuu.Hivi hizi simu usiku bila mwanga wa taa ya kawaida macho si yana athirika sana
Sanaaaaa , unatakiwa uweke level ya mwisho kabisa mkuu huku isiwe karibu na machoHivi hizi simu usiku bila mwanga wa taa ya kawaida macho si yana athirika sana
Vp mkuu, za mihagaiko?Niko macho
Wana JF walivyo na roho mbaya watakubia tafuta pesa upate usingizi 😂😂😂😂
Umejiuliza aliye piga picha lakiniWw n pisi kali kinoma, inaonyesha Ww n mtaam 🥰
Taa inazimwa kabisa inabidi ujue kitendo cha mtu kubaki macho muda huu ambao wenzake wamelala siyo cha kawaida ana shida ya usingizi so taa zinazimwa kabisa anabaki anatumia simu usingizi ukija saa asiyoitarajia goma linaitika anapotea.Hivi hizi simu usiku bila mwanga wa taa ya kawaida macho si yana athirika sana
Mihangaiko sio poa mkuu ni tunapambana tu na MUNGU anasaidia pia maana peke yetu hatuwezi kwa kweliiiVp mkuu, za mihagaiko?