Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 10,701
- 33,914
Wanakera sanaaaaa , ebu ngoja nifungue mwingine nikutag,😂😂😂😂 tuone kama wana hasira zaidi yetu, wwanadhania wao ndio wnakerekwa tuHawa mods washatuleta huku Tena
Wanakera sanaaaaa , ebu ngoja nifungue mwingine nikutag,😂😂😂😂 tuone kama wana hasira zaidi yetu, wwanadhania wao ndio wnakerekwa tuHawa mods washatuleta huku Tena
Aiseee 🤣 🤣 🤣 🤣Wanakera sanaaaaa , ebu ngoja nifungue mwingine nikutag,😂😂😂😂 tuone kama wana hasira zaidi yetu, wwanadhania wao ndio wnakerekwa tu
Sija muona ila ni picha iliyo pigwa na simu nyingine , kwa hio kuna mpigaji hapoNamsemea niliyemuona, kwan Ww umemuona aliyepiga hy picha?
Uzi umeletwa nyumbani!Hawa mods washatuleta huku Tena
Wanajikuta Wanasave serversUzi umeletwa nyumbani!
Wenye pesa hawalali mkuu saa hizi wapo wanapanga mipango ya kesho.Wana JF walivyo na roho mbaya watakubia tafuta pesa upate usingizi 😂😂😂😂
Ila duuh hata mimi usingizi umekataa mkuu
Weka eye care, tumia taa ya mwanga hafifu chumbaniHivi hizi simu usiku bila mwanga wa taa ya kawaida macho si yana athirika sana
N kweli ila Ww unapaswa kuzingatia unayemuona na sio ambaye humuoni mana labla inawezekana n simu imetegeshwa tuu hakuna mtu wa pili hapo.Sija muona ila ni picha iliyo pigwa na simu nyingine , kwa hio kuna mpigaji hapo
Tuko wengi, japo ipo hapa karibu ni kuvuta kamba tuIla kweli!
Lakini mimi taa sijazima hata nikipitiwa na usingizi inabaki inawaka
Ila we Jamaa nime sikitika sana 😂 😂N kweli ila Ww unapaswa kuzingatia unayemuona na sio ambaye humuoni mana labla inawezekana n simu imetegeshwa tuu hakuna mtu wa pili hapo.
Nimelia sana mkuu ðŸ˜Ila we Jamaa nime sikitika sana 😂 😂
Gays are real, suck some tonightMental case is real....get well soon
Hulali mzee?01:02 Fanton Mahal can you relate au tayari ume divert