Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,908
- 82,180
Dah!Good uwe na nidham hiyo hiyo .unaona inavyopendeza?
Dah!Good uwe na nidham hiyo hiyo .unaona inavyopendeza?
Twende kazi,Hapana mdogo wangu endelea na mmeo nawaona mnafuraha wenyewe cherekoo
Unavizia mlinzi nikienda utawalaTwende kazi,
Day 3 of waiting for pic.
12:14 AM.
Ombeni nanyi mtapewa,Unavizia mlinzi nikienda utawala
SawaOmbeni nanyi mtapewa,
Bisheni nanyi mtafunguliwa,
Asema BWANA wa majeshi.
Saa 10:35☹️Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa usingizi.
Muda wa jukwaa ni kuanzia saa 6 usiku mpaka 11 asubuhi. Mimi hapa leo tangu nimeamka nimeamua KUFANYA IBADA Tuuuu!