Konda wa bajaj
JF-Expert Member
- Sep 10, 2024
- 937
- 1,483
02;12 bado nabishana na wachawi
Umekosea muda 😁03:09
HahahahaUmekosea muda 😁
Nime fanya makusudi tu, nione ka walinzi wapo😂Umekosea muda 😁
Hahahaha..walinzi tupo 24/7Nime fanya makusudi tu, nione ka walinzi wapo😂
24/7 hahaha, labda kwa kuvizia vizia.Hahahaha..walinzi tupo 24/7
Hahahaha..mie niko muda wote24/7 hahaha, labda kwa kuvizia vizia.
haya sawa, asubui njema.Hahahaha..mie niko muda wote
Hahahaha,na wewe piahaya sawa, asubui njema.
Ni kweli wazo zuriNimeongea na moderator wawe wanafunga huu uzi saa kumi na moja asubuh kisha wafungue saa sita.
tutakua tunachat hapa usiku tu hata mimi nimekosea kutoa haya maelezo mchana