Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,910
- 82,191
Nzuri! Niitie mshamba_hachekwi aje kuniamkia.
Ngoja nimuite itakuwa now yupo kwenye kijiwe cha pombe ya mbege kitaani kwao oyaa mshamba_hachekwi njoo huku mwanetuNzuri! Niitie mshamba_hachekwi aje kuniamkia.
Ulitaka mwenzako anizalishe anikimbie k7wa na akili usipende kumpangilia mtu maisha yake na humjui mnakaa kikao eti mimi wa kuzalishwa na mkaende kuoa kwingine acheni upuuzi maisha yangu si yenu kama kuolewa wewe sio mungu . Halafu jf ni nyie tu mnastress za maishaHuyu anachagua sana
Mtabibu wangu huyoo I LOVE U Zali la MentaliUtake usitake, ndoa iko pale pale. Na utambue tu mapema mwaka huu haupiti nitamuoa huyu mwanamke.
Nzuri sana Vincenzo .Yule baba wa bukinafaso kaja?
Naskia anaenda kwenye mkutano pale postaNzuri sana Vincenzo .Yule baba wa bukinafaso kaja?
Nakuuliza kaja nchini?Naskia anaenda kwenye mkutano pale posta
Bado mpenzi wangu 😎😍😘Nakuuliza kaja nchini?
Good uwe na nidham hiyo hiyo .unaona inavyopendeza?Bado mama mdogo.
Nimefurahi! mnapendezanaGood! Asante mpenzi wangu😍
Nisamehe sana ndugu yangu, ni kweli kwamba nakuonea sana, nimekugeuza mnyonge wangu.Ulitaka mwenzako anizalishe anikimbie k7wa na akili usipende kumpangilia mtu maisha yake na humjui mnakaa kikao eti mimi wa kuzalishwa na mkaende kuoa kwingine acheni upuuzi maisha yangu si yenu kama kuolewa wewe sio mungu . Halafu jf ni nyie tu mnastress za maisha
Kuamkia LITOTO LIZURI ni uzembe wa kujinyima riziki.Nzuri! Niitie mshamba_hachekwi aje kuniamkia.
Wewe hupendi mabonge nyanyaKuamkia LITOTO LIZURI ni uzembe wa kujinyima riziki.
Ni kweli.Wewe hupendi mabonge nyanya
Mungu aniepushieNi kweli.
Lakini siijui kesho, mabonge nyanya hukonda.
Huyo tipwatipwa ananihusu nini mie?
Hapana mdogo wangu endelea na mmeo nawaona mnafuraha wenyewe cherekooNimefurahi! Ukikubali unipunguzie majukumu kwa huyu mme wangu mpenzi.