Dahan
JF-Expert Member
- Oct 26, 2022
- 2,798
- 6,373
Yangu tena🙄 au ya vifaranga vyangu😂😂😂Posa yako uli sema ni ngapi vile 😃
Yangu tena🙄 au ya vifaranga vyangu😂😂😂Posa yako uli sema ni ngapi vile 😃
Mbichi gani tena 😃Sizitaki mbichi hizi😂😂
Dah kweli huja acha hayo maneno, niko namwangalia paka wangu ame amka Ika bidi nimmulike taa.Yangu tena🙄 au ya vifaranga vyangu😂😂😂
Halafu nime Kumbuka, Wana endeleaje wale mapacha??.Yangu tena🙄 au ya vifaranga vyangu😂😂😂
Welcome back01:38 Kweli nime amini makuruta mme zeeka, lindo halina mtu kabisa.
Bantu Lady, Mad Max, Shadow7, Uchira 1, Dr am 4 real PhD, Half american Kichwa Kichafu, Mjep na wengine wote hamjambo🤞.
Dope au alcohol.0219 hrs. I am high
Ooh karibu tena Intelligent businessman Happy New Year 2025. Ulimisika, bora umerudi, tulifufue chama letu upya. Watu wanalala wana raha gani?.😅😅😅😅😅😅01:38 Kweli nime amini makuruta mme zeeka, lindo halina mtu kabisa.
Bantu Lady, Mad Max, Shadow7, Uchira 1, Dr am 4 real PhD, Half american Kichwa Kichafu, Mjep na wengine wote hamjambo🤞.
Much love bantu, Jana nime muona dahan pia.Ooh karibu tena Intelligent businessman Happy New Year 2025. Ulimisika, bora umerudi, tulifufue chama letu upya. Watu wanalala wana raha gani?.😅😅😅😅😅😅
Hahahahaha,we kijana mchokozi sana
Madam miss IQ ndo uka staafu mazima??[emoji13][emoji23]usiseme kwa sauti lindo litakosa wakeshaji