JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Ooh karibu tena Intelligent businessman Happy New Year 2025. Ulimisika, bora umerudi, tulifufue chama letu upya. Watu wanalala wana raha gani?.😅😅😅😅😅😅
Bantu Lady mimi ndio mgeni, ila maneno haya si mageni jijini 😆.
yaani nika jua tuta Linda wote, kumbe Umesha staafu na ulinzi😆
 
Back
Top Bottom