Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,407
- 102,441
hahaha, wewe hatu fungagi saa 12, huo muda watu tuna endelea na mambo mengine .Nafunga 5:51
hahaha, wewe hatu fungagi saa 12, huo muda watu tuna endelea na mambo mengine .Nafunga 5:51
haya mzee likizo njema😆, mimi nime funga lindo Jana na Leo, so nipo naendeleza shughuliHaha umenifanya ni-comment. Nimechukua likizo ya wiki 2
Tukutane lindoni 00:00haya mzee likizo njema😆, mimi nime funga lindo Jana na Leo, so nipo naendeleza shughuli
hahaha, hizo ahadi hazi fai lindoni, tuku tane tu muda wa ulinziLeo tutaungana wakuu
angalau umerudi Fake P alitufukuza humu.haya mzee likizo njema😆, mimi nime funga lindo Jana na Leo, so nipo naendeleza shughuli
haya comrade, naona ume anza mambo ya wazee wa public relations, sio tena u mejaTukutane lindoni 00:00
Sheria namba kumi na nane kifungu b, Ina sema walinzi walio kuja na magodoro hawa fai lindoni.angalau umerudi Fake P alitufukuza humu.
huko mimi sipo tena😅We mshamba_hachekwi chief cubana nae mta mfunga ama ??, maana kasha mtoa akpi.
na kasha waita odogwu Diddy😆, burna kasha nyanganywa simu na Maza ake.
hahaha, favorite artist wako na marijuana, ni baboon twins in a forest of a banana plantation 😆huko mimi sipo tena😅
kaka bado ume lala??, au wewe ndio waziri wa magodoro hapo dar😆Mkuu kweli wewe ni Rais Pro Max 😂,
Jana umetoka hapa Asubuh na umerud Asubuhi hadi saiz upo hapa 😂😂
Zamu ya Ulinzi iliisha mkuu😂😂kaka bado ume lala??, au wewe ndio waziri wa magodoro hapo dar😆
Ina tegemea na taa unazo tumia ulipoBado ni usiku au tayari kumeshakucha
haya kaka, sema mna lala mapema Sana😃Zamu ya Ulinzi iliisha mkuu😂😂
Mkuu Leo tutakuwa lindo pamojahahaha, hizo ahadi hazi fai lindoni, tuku tane tu muda wa ulinzi
Usi niite mkuu, mimi ni raisi wa ma jobless pro maxMkuu Leo tutakuwa lindo pamoja