Hii ni sigara au😅😁
Widi mkuu😁😁😁Hii ni sigara au😅😁
Unavuta zoote?Widi mkuu😁😁😁
😂😂 Kingston imehamia nyumbani kwako?
Unataka ukamsaidie😂Unavuta zoote?
Sigara Bwege zina mtu na mtu vichwa vingine utatukuta tukiokata makopo tukigusa hio
Kwanini ziliitwa sigara bwege😁😁Sigara Bwege zina mtu na mtu vichwa vingine utatukuta tukiokata makopo tukigusa hio
Mmh hapana mkuu... Sio msosi huu 😂😂😂Unavuta zoote?
Europe inaenda Kwa £ ngapi?
Sijui mkuu Ndio maana nmeuliza ili nifahamuMmh hapana mkuu... Sio msosi huu 😂😂😂
changamoto ya afya ya akili is real
Woiiii hata naelewa basiUnataka ukamsaidie😂
Europe inaenda Kwa £ ngapi
Sigara bwege haichanganyi akili.Sigara Bwege zina mtu na mtu vichwa vingine utatukuta tukiokata makopo tukigusa hio
Mwambie nataka nijifunze kuvinyonganyonga hivo. Mi naona aibu🫣Woiiii hata naelewa basi
Hujaona mtu juu kasema unaweza kuwehuka , nani anataka kuokota Makopo🤣🤣🤣🤣Mwambie nataka nijifunze kuvinyonganyonga hivo. Mi naona aibu🫣
£7-10 kwa gram mojaEurope inaenda Kwa £ ngapi
Sigara bwege haichanganyi akili.
Au ninyi ndio mnaita bangi sigara bwege na sio nyota ndio sigara bwege?
Kama mwehu ni mwehu tu.😁Hujaona mtu juu kasema unaweza kuwehuka , nani anataka kuokota Makopo🤣🤣🤣🤣
Stage za uwehu zimegawanywaKama mwehu ni mwehu tu.😁