Quinine Mwitu
JF-Expert Member
- Oct 19, 2014
- 5,530
- 6,121
ππππππππHadi kaburi lake lilishapitiwa na barabara.. pole sana
ππππππππHadi kaburi lake lilishapitiwa na barabara.. pole sana
Mbona hukuniita huko mpaka vnakufa na kinahusiana na n?Hadi kaburi lake lilishapitiwa na barabara.. pole sana
Pole sana na jikaze tu.ππππππππ
Watoto wanasoma ni mtu mzima kisheti π€£π€£π€£π€£ hv mtu mzima kisheti humaanisha nini fake p? Kuna mahali nlisoma nkaduwaa kugoogle haiji maana yakeMtoto mdoooogo! ππ
Hakuna kitu we mtoto vingine vikupite.Mbona hukuniita huko mpaka vnakufa na kinahusiana na n?
Unakuwa mchoyo wewe π
Sasa lengo Lao ilikuwa ni nini? Kwamba jukwaa linatuharibu watu wazima na ndevu zetu kama katani au?Pole sana na jikaze tu.
01:34 amWatoto wanasoma ni mtu mzima kisheti π€£π€£π€£π€£ hv mtu mzima kisheti humaanisha nini fake p? Kuna mahali nlisoma nkaduwaa kugoogle haiji maana yake
Hahahahahaa unamaanisha matendo yake ni ya kitoto?01:34 am
Definition ya mtu mzima kisheti wewe niangalie Mimiππ
Sasa utajua mwenyewe unavyonidefine π€©Hahahahahaa unamaanisha matendo yake ni ya kitoto?